LUKU kuna nini?

LUKU kuna nini?

COPPER

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
2,949
Reaction score
2,081
Jana jioni nimenunua umeme kwa tigopesa hela imekatwa lakini sijapata token hadi leo. Nimejaribu kwa airtel money pia imegoma hivyo kupelekea kulala gizani bila kutarajia. Inasikitisha mno. Wahusika tuambieni kuna tatizo gani?
 
wiki iliyopita nilikuwa pale iringa mjini wakati natafuta gari niludi kijijini kwangu luganga nkaona ni vema ninunue umeme kabisa ajabu ni kwamba nilipofika kwa muuza umeme alinitoza tsh 200(nilihitaji umeme wa elf 5)nlipomuuliza imekuaje iwe hivo alisema commision wamepunguziwa sana hivyo ilibidi nitoe tsh 5200!

kwenye simu napo nilipokimbilia kila kukicha mtandao shida,huko mbeleni nyinyi wa mjini mtaludia maisha ya zamani ya kufata umeme kwenye petrol stations ila sisi tunao tumia umeme wa REA huku vijijini tutateseka sn yan itabidi tuwe tunatuma hela kwa walio mjini watununulie then watutumie tokens.
 
Jana jioni nimenunua umeme kwa tigopesa hela imekatwa lakini sijapata token hadi leo. Nimejaribu kwa airtel money pia imegoma hivyo kupelekea kulala gizani bila kutarajia. Inasikitisha mno. Wahusika tuambieni kuna tatizo gani?
Piga simu kwa mtandao husika.
 
Ukinunua umeme M/pesa kama hujapata token bonyeza *152*00# utaenda malipo ya serikali utaingiza mita namba kisha watakutumia token
 
Back
Top Bottom