fukutoz
Member
- May 3, 2018
- 10
- 14
Asante sana wakuu kwa mchango wenu wa Jana kuziona picha ya ARV na ushauri.
Sasa Leo ningeomba tujadili swala moja muhimu sana.....
Kwa kuwa serikali na taasisi mbalimbali zinajitahidi sana katika kupunguza maambukizi ya UKIMWI
Mimi pia katika harakati hizo nina mchango ufuatao:
Serikali na taasisi husika zipambanazo ktk kupunguza maambukizi zilete dawa za SINDANO tu kama chanjo ya UKIMWI badala ya vile vidonge vyenye rangi nzuri ya kupendeza.....
Utafiti wangu mdogo umegundua WATANZANIA wengi tunaogopa SINDANO.....
Hivyo watu watakuwa waangalifu na michezo yao kuogopa DHAHAMA ya mikuki kila siku.....
Ahsanteni