Tupia hapa namba za wezi wa Mitandao

Tupia hapa namba za wezi wa Mitandao

Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
2,008
Reaction score
950
Wakuu,
Hii sasa imeshakua kero.
Naomba tuwasaidie TCRA, tuorodheshe kwenye huu uzi namba zote zinazotumika na matapeli wa mitandao. Tukianzia na hawa wanaotuma message za hivi:


0758122776
"ILE HELA ITUME KWENYE NAMBA HII :0762981102 JINA LITAKUJA (GODRIVA) (COSMAS) ILE LAINI YANGU INA-MATIZO UPANDE WA M-PESA HII NI NAMBA YA MTU NIMEAZIMA SIMU KWAHIYO NAOMBA UTUME KWENYE NAMBA HII ASANTE"


0767123007
"mjukuu Wangu sanga naomba uje kijijini kwangu tayari nimeludi kutoka kongo nimekuja na ile ndagu kali ya biashara pamoja na maji mekundu ya mekiuri, na ile ndagu ya utajiri usio na mashariti magumu pia na ile ya kumtuliza mume au mke asie mtulivu Ndani ,na ya kumrudisha aliepotea, jini la kuvuta pesa naomba upatapo ujumbe huu unitafute ili nikupe maelekezo mengine ni mimi mzee wako makungu"
 
hah aha ha ha h nilijua walikosea kwangu tu,bad luck nilijibu tusi ilivyopokelewa text namba nikaifutilia mbali...
 
Back
Top Bottom