Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu zangu watanzania na wasio watanzania, amani ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe nawe. Kuna kitu nimekuwa najisikia vibaya juu ya watu wanavyotumia mitandao ya kijamii vibaya, wakidhani...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa Blogu ya Ayo Tv ambao walibahatika kuhojiana na Kaimu Meneja Mawasiliano wa B.O.T, Vicky Msina, Kwa ufupi kabisa anasema na wao wameshtuka tu kuziona taarifa hizi kwenye mitandao...
5 Reactions
82 Replies
15K Views
Jamani tujipange. Tuache kukomaa mno! Kuna wtu hawajasoma na hawana ujuzi wala ajira yoyote na hawafanyi chochote kiujuzi lakini wana hela sana! Familia zao ziko poa sana.Sana tu! Mwanaume...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
Wakuu, habari za usiku huu, Mimi binafsi leo nilikwa mitaa ya maeneo ya Uwanja wa ndege Dar nikakutana na msafara wa Kamati ya maafa wa mafuriko Mkoa wa Dar es Salaam nikaona ni heri niufuatilie...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
hii inaboa sana ndiyo maana hata Mungu hasikilizi Sara zenu, kuomba gani hadi mfunge masipika hadi usiku wa manane! nchi hii ina watu wa ajabu sijawahi kuona; Masipika makubwa makanisani hivi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
*Wakristo walikatazwa riba! Wengi kama mimi nafikiri tumekuwa tukijiuliza ni kwa nini Wayahudi au hawa wanaojiita Wayahudi wa Ulaya (Ashkenazi Jews) ni matajri sana na wanatawala karibia finance...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
“ HIVI NI KWA NINI MUNGU KATUWEKA BINADAMU TUNAISHI?”. Great thinkers majibu yenu tafadhari
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Vipi watu wangu wa Nguvu pande zenu bado mnaziita hela majina yale ya utawala wa mkwele , Kama. Bati=mia mbili Jiti = mia Jero= mia tano. Buku=elfu moja Kifaru= elfu tano. Mwekundu wa...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Siku moja nyani saba waliwekwa ndani ya bustani yenye uzio. Katikati ya bustani hiyo kulikuwa na jukwaa, na juu ya jukwaa hilo ziliwekwa ndizi mbivu za kuvutia sana. Lakini pia kulikuwa na bomba...
19 Reactions
27 Replies
3K Views
Mtanzania atakayepoteza hati ya kielekroniki ya kusafiria inayopatikana kwa Sh150,000 atalazimika kulipa Sh500,000 kupata mpya. Pia, iwapo ataipoteza tena atalipa Sh750,000 ili aweze kupata...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Nchi ngumu sana! Moshi na Arusha watu hunywa pombe asubuhi kabisa muda wa kazi kwasiku za kazi kiroho safi bila hofu yoyote. Unakuta wtu wanakula pombe nje kweupe mchana kabisa na wanavuta bangi...
3 Reactions
59 Replies
6K Views
Mamia ya wananchi na watumishi wa hospitali ya wilaya ya Mkuranga wamiminika kushuhudia tukio la ufukuaji wa mwili wa marehemu Rose Magombola ambaye alikuwa muuguzi Mkuu msaidizi wa hospitali ya...
6 Reactions
94 Replies
20K Views
In short, tunazidi ku make bad headlines kimataifa. Tunapoelekea sipo kabisa. Hili swala halitatuacha salama kabisa. Wana lumumba mshaurini huyo dereva lori. Watu wa mazingira mpo wapi!!?
1 Reactions
52 Replies
5K Views
Kuna mzee ananipa taarifa hapa kwamba kuna mama na mwanawe wamedondokewa na waya mkubwa wa umeme mtaa wa Uhuru Kariakoo, mtoto amepona; kwa aliyeshuhudia tukio tunaomba taarifa zaidi.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nina mawili ya haraka haraka! La kwanza: hivi karibuni Mwenyekiti wa CCM [taifa] alikabidhiwa ripoti ya ukaguzi/uhakiki wa ‘mali za chama’, ukweli ni kwamba, CCM haina mali za kuhakiki wala...
0 Reactions
4 Replies
995 Views
Habari zenu wana JF. Nimetembelea mji mdogo wa Itigi uliopo wilaya ya Manyoni mkoa wa Singida. Wenyeji nijulisheni sehemu nzuri ya kulala, kunywa na kula. Asanteni kwa ushirikiano.
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Amini usiamini ili nchi iendelee lazima watu wauliwe kwa njia mbali mbali hasa wanaopinga mipango ya maendeleo ya taifa husika mfano fuatilia skorea baadaye ya kujitenga,USA akina Lincoln, Luther...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii ni tahadhari : Hii Kampuni yenye vinu Huku Mbagala na Eneo la Gereji Mandela Road Dar Es Salaam , inahusika na utengenezaji , uuzaji na usambazaji wa Zege kwa wateja ambao ni wakandarasi na...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari! Kwa masikitiko makubwa Napenda niwataarifu kuwa Mkuu Wa idara ya Mipango Halmashauri ya Manispaa ya Tabora Bwana Johannes Kilonzo na watumishi wengine watatu wamepata ajali eneo la...
3 Reactions
77 Replies
9K Views
Dkt. John Pombe Magufuli ni; 1. Mkuu wa nchi (Head of State) 2. Mkuu wa Serikali (Head of Government 3. Amiri Jeshi Mkuu ( Commander in Chief) Amiri Jeshi Mkuu 4. Mwenyekiti wa Chama Tawala (CCM)...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…