Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,204
Vipi watu wangu wa Nguvu pande zenu bado mnaziita hela majina yale ya utawala wa mkwele ,
Kama.
Bati=mia mbili
Jiti = mia
Jero= mia tano.
Buku=elfu moja
Kifaru= elfu tano.
Mwekundu wa msimbazi=Elfu kumi.
Au mmeshazipa heshima yake kwa kuzitamka jina lake halali tena kwa unyenyekevu mkubwa?
Na vipi kuhusu ule msemo wa Laki sio pesa bado unafanya kazi ?.
Na vipi kuhusu yule jirani aliyekuwa anasumbua kila siku Nyama na pamba kali bado anaendeleza game au tayari ameshasanda anaomba mpaka kitunguu?
Na vipi kuhusu yule demu aliyekuwa anaringa na kamsemo kake ka utanipa nini wewe mi ni mtu wa kufwata na watu wenye pesa zao bado yupo vile vile au kitaa wana wanajilia tu?
Na wale malaya waliokuwa wanauza papuchi huku wakisema mi bila laki tano hunivui pichu yangu bado wamekaza au wameshashusha dau?
Tuambizane basi wadau huko mliko vipi?