Mauaji ni jambo la kawaida

Mauaji ni jambo la kawaida

Mzee Saliboko

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2018
Posts
1,329
Reaction score
1,044
Amini usiamini ili nchi iendelee lazima watu wauliwe kwa njia mbali mbali hasa wanaopinga mipango ya maendeleo ya taifa husika mfano fuatilia skorea baadaye ya kujitenga,USA akina Lincoln, Luther king,Russia, Vietnam n.k
Kwahyo msishtuke naTanzania kama IPO hyo
 
Hahahaha hahahaha kwa hiyo tunapokutana na vifurushi vya watu ufukweni tusistaajabu eeenh
 
Amini usiamini ili nchi iendelee lazima watu wauliwe kwa njia mbali mbali hasa wanaopinga mipango ya maendeleo ya taifa husika mfano fuatilia skorea baadaye ya kujitenga,USA akina Lincoln, Luther king,Russia, Vietnam n.k
Kwahyo msishtuke naTanzania kama IPO hyo
Ndio unataka nchi yetu ielekee huko!!!? Kwanza katika nchi ulizozitaja watu ambao walikua wanazijenga kwa kupambana na unaowaita wapinga maendeleo walikua ni watu wazalendo hasa kwa nchi zao, watu wenye vision ya hali ya juu na wakijua hasa nchi zao wanataka wazipeleke wapi, hawakua na double standards, hawakubia nchi zao,walikua na uwelewa mkubwa juu ya mambo yanayowazunguuka na ya nje pia, na walikua wanadhibitika pale ambapo inaonekana wanatoka nje ya misingi waliojiwekea
 
Bila shaka mtoa mada utakuwa ni mmoja wao ktk hilo genge la mauaji
 
Amini usiamini ili nchi iendelee lazima watu wauliwe kwa njia mbali mbali hasa wanaopinga mipango ya maendeleo ya taifa husika mfano fuatilia skorea baadaye ya kujitenga,USA akina Lincoln, Luther king,Russia, Vietnam n.k
Kwahyo msishtuke naTanzania kama IPO hyo
Kwani wasianze na wewe, subiria yakukute ndo utaelewa,kenge asikii hadi atolewe damu
 
Amini usiamini ili nchi iendelee lazima watu wauliwe kwa njia mbali mbali hasa wanaopinga mipango ya maendeleo ya taifa husika mfano fuatilia skorea baadaye ya kujitenga,USA akina Lincoln, Luther king,Russia, Vietnam n.k
Kwahyo msishtuke naTanzania kama IPO hyo
Una roho ya umauti kwako maiti ni burudani ilitakiwa ufanye Kazi mochwali huko ulipo umepotea.
 
Back
Top Bottom