Swali tata nililoshindwa kulipata jibu lake

Swali tata nililoshindwa kulipata jibu lake

Emok Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2018
Posts
1,094
Reaction score
800
“ HIVI NI KWA NINI MUNGU KATUWEKA BINADAMU TUNAISHI?”.


Great thinkers majibu yenu tafadhari
 
nyue ni maabara ya tafiti wakimaliza tafiti zao mtaharibiwa kama north korea anavyotaka kuharibu sehemu zake za tafiti za mambo ya nuke
 
Haina maana kabisa maana mwisho tunakufa tena na adhabu ya milele kwa ambao hawakuishi kwa kumtii Muumba,, kwani tusingeumbwa ingekuwa nini,,? Na ingekuwa hasara au faida ya nani,,? Basi kwa nini unaumbwa, unazaliwa, unakua na hatimaye unakufa na mwisho unakuwa kuni kwenye moto wa milele,,? Kichwa kinauma ngoja ninywe maji kwanza..
 
Emok Jr
Nakusaidia kidooogo sana.
Soma hii hapa:
Mwanzo 1:26
"Mungu akasema na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na ..."

Lakini ukitaka kujua zaidi jifunze kupitia maandiko Soma Kitabu cha Mwanzo kuanzia sura ya 1 jibu mujarabu lipo hapo.

Utajua kwa nini upo hapo.
 
Back
Top Bottom