TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Morogoro (TAKUKURU), imewapandisha kizimbani watuhumiwa wawili wa Serikali kwa makosa ya kujihusisha na vitendo vya rushwa na uhujumu uchumi...
Wakuu mimi sasa nimeanza kupata wasiwasi wa tafsiri ya TB Joshua kuja Tanzania mpeku utadhani anaenda msibani. Tena alipokelewa kwa mbwembwe na JPM ila hakushiriki katika kuapiswa kwake.
Wale...
katika mweiz huu mtukufu wa ramadhani kwa waumini wa kiislamu hua wanafunga, kwa yule mwenye uwezo na afya njema, nakwa wale ambao hawana uwezo na afya njema hawafungi ila kuna baadhi ya mambo...
Kulikuwa na HUIMA (CASFETA),UKWATA na TYCS wakati tukisoma.
Sisi wengine tulio katikati, wakati mwingine tulienda UKWATA sbb ya kuimba Mapambio na nyimbo za kusifu.
Kukesha ktk sala na usiku wa...
Tukipata fursa ya kuongea na viongozi tuulize maswali yenye tija. Leo hii, yupo "mwenye kiwanda" fulani cha mboga-mboga anaomba ndege za mizigo zitue Songwe maana kusafirisha mboga mboga (mnafu na...
Serikali ya Mkoa wa Mjini Magharibi imesema itawachukulia hatua za kisheria wafanyabiashara wenye migahawa wanaouza vyakula mchana kwani tayari imeshapiga marufuku uuzaji wa vyakula kipindi hiki...
Kutoka ukurasa wao wa f/book ni zaidi ya saa1 imepita ndege ikiwa na abiria 239 imepoteza mawasiliano na haijulikani iko wapi. Ndege hiyo ilikuwa na abiria toka nchi 13 tofauti, fuatilia...
Habari za wana JF
Haka ka msemo kana beba maana gani? je ni ile ile inayokusudiwa kwenye kamusi za kiingereza au kana maana nyingine?
Naomba kujuzwa tafadhali.
Wakuu umofia kwenu,
Mtakumbuka toka Kifo cha Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza ndugu Lebaratus Barlow uchunguzi ulifanyika sijui uliishia wapi.
Katika mishe mishe zangu Mkoa wa Mwanza(Soma JIJI)...
Mungu awe nanyi wakubwa
Mwaka Jana Tuliona Mtanzania mwenzetu ambaye alipatwa na matatizo, hapa urusi, na matatizo yake yasingejulikana kama si Lugumi, kwanza tumshukuru Lugumi sintofahamu zake...
Aidha, jumla ya watu 166 wameugua ugonjwa huo katika kipindi hicho.
Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Dk. Halfan Haule, alitoa taarifa hiyo katika kikao cha Kamati ya Afya ya mkoa huo ambayo...
Serikali na Jeshi la Polisi tatueni suala la foleni, watu tunaamka saa kumi asubuhi halafu tunafika kazini saa nne.
Makonda RC hayo na mambo ya msingi ya kudeal nayo.
Habari ndugu,
Kifupi nina tatizo hivyo naomba msaada wa ushauri, nimepoteza bima ya afya na nina tatizo hivyo inatakiwa nifanyiwe operation haraka iwezekanavyo! Hivyo naomba ushauri wa kujua...
Magavana wa nchi za Afrika wametakiwa kuwa na utayari wa kuzisaidia nchi zao kutatua changamoto za kiuchumi na kuhamasisha maendeleo endelevu ili kuendana na mapinduzi makubwa yanayotokea kote...
Kuna jamaa mmoja alinikopa 300,000/= amezingua miezi 2 hajanilipa. Nimembana, kasema mshahara wa February atalipa. Niko bush, naombeni mnijuze kama tayari, nimkabe kabla hajaumaliza.
Hongera sana Ms Joyce Msuya kwa nafasi hiyo ya Deputy Executive Director of UN Environment.
Naona Watanzania sasa wanakamata nafasi za kimataifa tena wakina mama hongereni sana.
======
New...
Baraza la Wataalamu wa Maabara za Afya nchini limesema wataalamu 71 wa maabara waliowasilisha vyeti vya kwa ajili ya usajili, wamebainika kuwa na vyeti vya kughushi.
Kauli hiyo imetolewa leo...
Watoto wawili umri wa miaka 8 na 12, wameibuka mashujaa baada ya kuopoa mwili mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Mzee Nampwenge aliyekufa maji, baada ya kuzama kwenye bwawa alipokuwa akiogelea...