Kaka Yangu, Amini Nakwambia, Uchawi Upo

sky walker

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
1,160
824
*Uchawi Wa Kweli Ni Pale Unaposubiri Baba Yako Ambaye Ni Dereva Bodaboda Aende Kazini, Halafu Wewe Unampigia Simu Demu Wako Aje Nyumbani. Bahati Mbaya Inalalia Kwako, Kwani Baba Yako Ndiye Anayemleta Demu Wako. Na Kufanya Bahati Mbaya Iwe Mbaya Zaidi, Demu Baada ya Kufika Nje Ya Nyumba Yenu Anakupigia Simu Ili Uje Kulipia Usafiri.*
 
Hapo ndio ile dem kila akikuongelesha akili yako haipo kbs!unaskia lkn huelewi unabaki tuu eeehhh ahaaa
 
*Uchawi Wa Kweli Ni Pale Unaposubiri Baba Yako Ambaye Ni Dereva Bodaboda Aende Kazini, Halafu Wewe Unampigia Simu Demu Wako Aje Nyumbani. Bahati Mbaya Inalalia Kwako, Kwani Baba Yako Ndiye Anayemleta Demu Wako. Na Kufanya Bahati Mbaya Iwe Mbaya Zaidi, Demu Baada ya Kufika Nje Ya Nyumba Yenu Anakupigia Simu Ili Uje Kulipia Usafiri.*
:):):);););)
 
Ndo tabu ya maisha ya sasa,hivi unaanzaje kuleta "demu"katika nyumba ya babako!Kama mimi ndio huyo baba walah utaenda kupanga siku hiyohiyo,si unajifanya kidume!?Na hiyo 5000/ niliyo kuachia ya hospital ndio kianzio chako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom