Fahamu Juu Msafara (Motorcade) ya Marais mbalimbali

Fahamu Juu Msafara (Motorcade) ya Marais mbalimbali

Kassina

Senior Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
133
Reaction score
133
Rais si mtu mmoja Bali ni Taasisi ambayo ni Alama kwa Taifa Lolote, Rais Ni most protected people within his or her state, Rais hulindwa kwa cost yoyote ili awe safe Leo nitadadavua kwa Ufupi juu ya Gari zinazonekana katika msafara wa mkuu wa nchi yoyote nieleweke Hapa sigusii msafara wa Rais wa Tanzania au Kenya No , ni vitu common ndani ya misafara ya marais dunia na vinaweza kuchange any time kwa sababu za Kiusalama za Hio team ya Rais , Kwanza tujue presidential motorcade yoyote Husababisha kufungwa kwa barabara haswa intersection ili kuipuka kuingiliwa na gari zingine wakati motorcade hio ina tembea Pia hupunguza Jams ili gari zao zi maintain speed fulani ambayo kiusalama wataona inawafaaa, Msafara wa Rais mbele hutangulia 1 1 1. Gari ya Police wa eneo analopita Rais polisi hao hujua njia Za eneo lao na Hutoa guidance to entire motorcade Police hao wanaweza kutumia piki piki au Gari

2. Lead Cars hizi huwa gari Moja ama mbili Zinakuwa na siri kubwa na Nyingi huwa na sensors kwa ajili kudetect Vitu inapopita gari hizi huongoza gari ya Rais maana nyuma ya hizi gari Ni Rais huwapo
3 . Presidential Cars zinaweza kuwa za mfanano Kama tatu au nne au zaidi ni Nzuri Kiusalama kwa adui kutojua Rais exactly yuko gari ipi ila pia ni Back up incase gari aliyopanda rais imeleta fault, Trump wakati ana Take parade at Washington on his inauguration Gari za First cars yani presidential cars za mfanano zilikuwa almost sita na SS walikuwa wana ze treat equally as if Presidaa yupo kwenye zote kumbe ni yupo kwenye mojawapo
3.Electronics countermeasures cars hizi hupima Vitu mbalimbali hu act kama radar na pia hutoa mawasiliano kwa Rais na Protection detail
4. Van hii hubeba mitambo ya Kielectronics kwa ajili ya surveillance
5. Supporting cars hizi huwabeba Mawaziri, Wakuu wa vyombo vya usalama na High rank leaders walioambatana na Rais, Gari za Marais ni modified na Huwa na Bulletproof kote
7679687862_16af584462_b.jpg
1.jpg
 
Hii nda iliwahi jumetwa hapa with lots of details za nchi mbali mbali.

Naamini ingeweza kuunganishwa na hii ingekua poa sana maana niliwahi kuitafuta sikuoona
 
Uzi mzuri uje utupe Na habari za maisha ya raisi ndani ya ikulu, kuna mtu anatupiga fix kuwa raisi anapo lala askari wakati wa kubadili shift hupima mapigo ya Na kunot kakabithi lindo salama raisi alikuwa akipumua fresh, pia mkewe ana pangiwa muda wa kustarehe Na raisi hatakiwi kumchosha maana hawalali chumba kimoja. Pia idadi ya watoto Na ndugu anao paswa kuishi nao ikulu nk
 
Ila kwetu sisi ni rahisi sana kung'amua Rais yupo kwenye gari gani kwenye msafara (Nembo ya Taifa na Bendera ya Rais) nimekuwa navutiwa sana na Crew nzima ambayo huwa inaambatana na rais.

Ila sio vyema sana kwa Rais kutumia masaa mengi sana Barabarani kwa ajili ya usalama wake(sijasomea mambo ya usalama ngoja niwe mpenzi mtazamaji)
 
labda kidogo niwafumbue macho
Msafara wa raisi unaweza kuwa na magari kadhaa kulingana na shughuli anayoenda kuifanya au eneo husika.kabla ya raisi kutoka huwa kuna first line cars ambazo hupita nusu saa au masaa kabla katika bara bara husika magari hayo huwa na sensor ambazo zinaweza kujua mabomu yaliyotegwa au vifaa vya chuma ambavyo vina hatari.baada ya hii timu kukamilisha na kuwa bara bara iko sawa,kunakuwa na baadhi ya usalama wa taifa ambao wanakuwa na magari wamepaki katika baadhi ya maeneo husika ili kungamua kama kutakuwa na hatari yeyote na mara nyingi huwa kwenye magari ya private.nao pia hutoa maamuzi kuwa msafara uanze safari au la
Baada ya kutoa taatifa kuwa kupo salama msafara unaanza rasmi huku ukiwa unaongozwa na piki piki kati ya hayo magari lazima kuwepo kuna gari nyingne ya kudetect mabomu pia mara nyingi utaigundua kwa kuona ina kama kiungo kwa juu,
gari nyingine ni za silaha hii inaweza kuwa moja au 2 na kuendelea kutokana na eneo husika na lazima kuwa na gari ambazo watakaa wanausalama ambao wako armed.
mwendo huwa ni kuanzia 80km/ph,na huwa wanatakiwa kupishana kwa umbali wa mita 2 mpaka 3 hvyo dereva lazma wawe wamepata mafunzo maalum.pia mwendo unaweza kuwa wa zig zag au wa kawaida.na mwisho huwa ni gari ambazo huwa mwisho kabisa wa msafara ambazo huwa na timu ya emergency response wao hutoa msaada wa haraka pale inapohitajika eg kuvamiwa msafara
note:usidanganywe na bendera ukajua rais yupo kwenye gari hilo anaweza kuwa kwenye gari usiyotarajia kwenye msafara hata nyuma kabisa
ahsanten
 
Putin akiwa urusi anaweza tembea na gari moja na pikipiki mbili mbele amemaliza kaz
 
Putin akiwa urusi anaweza tembea na gari moja na pikipiki mbili mbele amemaliza kaz
thubutu tena ukiona hvyo ujue kabisa anaulinzi mara kumi ya vile akiwa na gari nyingi,utakuta kuna wafanya biashara au wageni kibao sku hyo road kumbe wazee wa kaz
 
Back
Top Bottom