Habarini za Jioni,
Mwaka 2008 nilikuja hapa Mjini Dar es Salaam, baada ya kumaliza Form four na nilibahatika nilikuwa na vi akili kidogo mjomba wangu alinitaka nije nikae nikiwa nasubiri matokeo...
Kuna dada mmoja kapata ajali leo na kuvunjika mguu hivyo akapelekwa Hospitali ya Mkoa Morogoro; cha kushangaza ni kuwa hakuna hata drip, wala paracetamol sina uhakika ni kwa makusudi au ni kweli...
Familia hoi huko kando ya Bwawa la Nyumba ya Mungu hasa vijiji vya Mikocheni A, Ngorika, Kirya na Kambi ya Swala… Ni baada ya Bwawa la Nyumba ya Mungu kufungwa kwa muda mrefu hali inayosababisha...
ILI KUPATA TAARIFA JUU YA PRIVACY YA CONTENT ZETU HUMU JAMVINI NAENDA WAPI??. SIKUMBUKI KAMA BAADA YA NYIE JAMII KUACHIWA NA KURUDI HEWANI KAMA MMESEMA LOLOTE ILA NAKUMBUKA WAKATI MMEENDA OFFLINE...
7 Reasons Why Africans are Poor and How to be Rich in Africa !
BY Sir Dismas BH
1. Most Africans are religious, but not spiritual.
Religion is a significant part of Africans, but unfortunately...
Mh IGP naomba kuleta malalamika yangu ktk mtandao kulilalamikia jeshi la polisi upande wa kanda maalumu kwakufanya mambo yanatushangaza.
Jeshi la police limekuwa liki isumbuwa familia yetu...
Habari,
Leo asubuhi katika mihangaiko yangu, nilipita mitaa ya Kariakoo mbele ya mlango wa kuingilia terminal ya Gerezani pale, kuna mtoto mmoja amekaa na mama yake anaomba hela pale...
Jela / gerezano ni habari nyingine kabisa. Usiombee kufikwa na hii kitu. Na usimuombee ndugu yako kwenda huko. Hakufai kabisa…
Kuna watu wameshaenda jela either mara 1 au zaidi ya mara moja. Yote...
Jaman wakuu humu ndani inakuaje mamlaka ya mawasiliano imetangaza chanel 5 bure na Leo Mi nimekatiwa kisa mwezi umeisha?. Tuwekeni channel izo watu tufuraie uhuru huu
KAMA nakuona unavyotikisa kichwa na kujiuliza leo Anti ameleta kuku na pumba tena? Na utatikisa kichwa na mijicho kuitoa sana mwaka huu! Jitu zima hoooovyoooo kutwa kumkosesha amani mkeo...
Habari wana jamvi,
Kwa sie wakazi wa kitunda tumekuwa tuna adha kubwa ya kukabwa hasa nyakati za usiku kutoka kwa vijana wadogo wenye silaha kama mapanga na visu,yani ikifika saa 4 tu ukiwa road...
Kuna tofauti kubwa ya mwezi wa saba miaka ya nyuma na mwezi wa saba miaka hii ya sasa
Mwezi wa saba wa miaka ya nyuma ilikuwa muhimu sana na ikisubiriwa kwa hamu na mashamushamu lakini miaka hii...
Kwa mujibu wa sheria za Uingereza zilizopitishwa tangu karne ya 12 Bata maji (mute swan) wote waliopo nchini humo ni mali ya Malkia wa Uingereza. Sheria hiyo ilipitishwa ili kuwazuia wananchi wa...
Habari wakuu
Kuna vipimo vinavyotumika kupima virusi vya ukimwi vingi vinakinzana majibu yani vingine vinaonyesha unavirusi vingine hauna ,lakini michezo yote hii na ufake wote ni sababu ya...
Nashukuru sana wakuu kwa mawazo yenu kwa mada iloyopita kuhusu kujenga kwa MILLION 7.Kwa mawazo niyopata nimegundua hujenzi hautaji kukurupuka, ujenz unataka uende taratibu taratibu, ukipata...
JAMBO LA KUSIKITISHA SANAA
WAKATI WANANCHI WAMEENDELEA KKUGOMA KUCHOTWA MCHANGA WA MTO KAWE HUKU BAADHI YA WAHUNI WAKILETA VIJIKO VYA KUBEBEA MICHANGA NA KUJAZA KWENYE MALORI YAO WAKIWALIPISHA...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa wanaanza wenyewe ' Kujiua ' kama siyo ' Kujitoa Uhai ' hovyo hovyo halafu tunapewa sababu za ' Kitoto ' kabisa sijui ni Wivu wa Kimapenzi na Msongo wa mawazo.
Pole...
habari wadau, hili limekuwa likiniumiza sn, nani anawajali hawa watu ofisin?, wanapewa posho ndogo, huku wengine hawapewi kitu, wanafanya kazi nyingi huku waajiriwa wenyewe wanarelax.
wote...
Leo kwenye hospitali moja iliyoko jimbo la Kawe nimeshuhudia ugomvi wa kati ya mtosha mshuru wa maegesho ya magari na ndugu wa marehemu aliyefariki kwenye hospitali hiyo wakati akipatiwa matibabu...