jagular
JF-Expert Member
- Oct 26, 2015
- 424
- 246
Leo MTU unaacha kazi unataka kujiendeleza ukienda kudai mafao yako ili uongeze mtaji kwenye biashara yako,ukienda kudai mafao yako wanakuambia eti endelea kufanya kazi kwani kujiajiri sio kufanya kazi? Isitoshe unaambiwa mpaka ufikishe miaka 55 ndio wanaweza kukupa mafao yako, hii sio haki kabisa .