Muda ulowekwa kuruhusu magari ubadilishwe.

Muda ulowekwa kuruhusu magari ubadilishwe.

TOHATO

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2016
Posts
1,491
Reaction score
5,386
Ni muda sana Kipindi taa za kuongoza/kuruhusu magari barabarani zinawekwa.
Na muda wa kurusu upande mmoja kwenda mwinginei ulitegemeana na wapi magari mengi yanatokea.
Ila zama zimebadilika yaezekana sehem ambayo ilikuwa na folen kubwa sa hivi ikawa haina tena.
Yani foleni ya zaidi nusu kilomita taa zinaruhusu kwa sekunde kumi tu.?
Hichi ndo kinachopelekea had ma trafiki kujipa jukumu la kuyavuta magari ya upande olozidiwa hadi yaishe.
 
Nimrkusikia, ngoja nilifanyie kazi
tapatalk_1531728862957.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom