MBEYA: Bajaji yagongwa na Land Cruiser na kuua 3, huku Hiace ikiteketea kwa moto Dereva na Kondakta wakisalimika

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Ajali muda huu hiace imeshika moto barabara ya mbembela (Mbeya) ndani ya gari alikuepo dereva na kondakta wote wamesalimika.

Wakati huo ajali nyingine imetokea Kadege (Mbeya) usiku huu bajaji imegongwa na Land cruiser inasadikika watu watatu wamefariki dunia papo hapo.

IMG_20180717_003935.jpg
IMG_20180717_003932.jpg
 
Zakazaka huyu brother K siku akitumbuliwa nahis anaweza kuaga hata dunia maana si kwa mikwara na spidi alivyo navyo, hadi mifuko ya shati inamshitaki kuwa anafanya kwa sifaaaaa
Anafanya usanii kumridhisha mwajiri wake maana kashamjua kua napenda migizo
 
Retired yule naamini anaona tu maana alikuwa TBC bado hajatulia , anaomba azikwe na ilani ya kijani siku akifa saaa sijui kama upstair iko sawa kwa hili
Lile ni jinga mojawapo tulilonalo. One of the hopeless guy the country has ever had. There are some loose nuts in both the brain and mind and completely they can not be tightened as the bolts are worn out!
 
Back
Top Bottom