Sina mengi ya kusema ika kwa sasa jiji la Dodoma linakua kwa spidi kubwa sana.
Ndani ya miaka kumi ijayo Dodoma itakuwa Las Vegas of Africa. Na hali yake ya kuwa nusu jangwa, jua linawaka vizuri...
Nimepita eneo la Kawe, mkabala na nyumba mpya za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Pembeni mwa barabara inayoelekea Malingo, karibu na msikiti, ambapo kulikuwa na uchafu uliorundikwa kwa takribani...
Wataalamu wa mahusiano na saikolojia wamekuwa wakieleza kwamba mwanamke hupata mafanikio ya mapema kuliko mwanaume, na kwamba dunia huwa rahisi zaidi kwa wanawake kuliko wanaume. Je, uhalisia wa...
USHAURI KWA WAZEE WANAOANZIA MIAKA 55 KUENDELEA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Kwa heshima na uangalifu Mkubwa nianze kwa kuwapa Shikamoo.
Kwenu nitakuwa muangalifu wa kutupa maneno yangu...
Mada hii inachunguza kile kinachotokea wakati mtu wa kawaida—asiye na mafunzo ya kijeshi au kiintelijensia—anapoamua kuingia kwenye ulimwengu wa kulipiza kisasi.
Tofauti na mtaalamu ambaye...
Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Mathew Kundo amesisitiza juu ya umuhimu wa Wizara ya Maji kushirikiana na Sekta binafsi nchini kwa lengo la kuongeza ufanisi katika kufanikisha malengo ya Serikali ya...
USA inataka raisi mtulivu kama Biden au Obama kwasababu ya kuepusha Kiburi kinachosababishwa na ukubwa wa mamlaka yake sio wehu kama huyu Kidawa mpenda chokochoko
Nina hakika kuwa Donald Trump...
Hakuna uamuzi mbaya kama kutesa watu au kuwanyanyasa kwa namna yeyote ile, huwa mwisho wake unakuwa mbaya sana
Njia ya haraka sana ya kulaaniwa ni kutesa watu na kuwanyanyasa
Laana haiji kwa njia...
Kama una coster unakodisha inahitajika leo kwa siku 180k itakodishwa ndani ya miezi 6.mafuta kwetu dereva juu yako lakini tunamhudumia kila kitu.kazi ni site singida lkn gari hiyo lazima ije hapa...
Unakuta mtu kwenye issue za sports anavaa KANZU na koti la suti.
lazima uonekane miyeyusho tu
Maintain positive first impression itakusaidia sana vaa Smart popote pale unapokwenda.
Za siku sana jf? Miaka ya nyuma niliweka hapa bandikoANATAFUTWA: Michael Juma anatafutwa na mwanae. Alikuwa askari magereza, mkazi wa Masasi na Mtwara mjini.Baada ya muda kupita nilitoa na tsh...
ONGEZA THAMANI YAKO; SIO UNAHANGAIKA KUOMBA KAZI, KUMBE KAZI YENYEWE HATA UKIIPATA UTAISHIA KULIPWA LAKI 3.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Binti na kijana wangu. Umri wa miaka 10-25 ni...
Nchini Marekani mwigizaji maarufu wa filamu ya Ant Man and the Wasp, Evangeline Lilly(pichani), amefunguka kuhusu hali ya sintofahamu inayoendelea studios kubwa za filamu kupunguza wafanya kazi na...
Hii miscalculation kubwa sana iliofanyika.
Electric buses ndizo zipo sustainable zaidi na hazihitaji maintainance kubwa.
Nchi yeyote inaweza kuzalisha Umeme lakini si kila nchi inazalisha mafuta...
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Balozi Dkt. Bashiru Kakurwa, amesema dhamira ya Serikali ni kuona Mkoa wa Kagera ukifunguka kiuchumi, ndiyo maana jitihada mbalimbali za kuchochea fursa za maendeleo...
Mbabe wa Mexico kwenye biashara ya madawa ya kulevya ambaye ni mmiliki wa genge hatari la El Chapo Sinaloa Cartel.. Alijenga handaki la chini kwa chini kwenda marekani kwa ajili ya kusafirisha...
Kuna wakati unaamka na kuhisi hofu isiyoelezeka. Hofu ya kuona watu waliokuwa sauti ya jamii wakitoweka taratibu kwenye macho ya umma, halafu maisha yanaendelea kana kwamba hakuna kilichotokea...
MIKONO YAKO .
Mit 3:16 SUV
Ana wingi wa siku katika mkono wake wa kuume, Utajiri na heshima katika mkono wake wa kushoto.
Mkono wa kulia-Umebeba wingi wa siku zako za kuishi.
Mkono wa...