Msaada wa haraka kwa wataalamu wa kodi unahitajika

omoghaka

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
293
166
Naomba kufahamishwa kuhusu kiwango sahihi cha Kulipa kodi kwa Mfanyabiashara mdogo mwenye Faida (Taxable income) ya shilingi 13,232,000/=.

Naomba anaefahamu anisaidie mapema ili niweze kulipa mapema na kuepuka faini.
Mwisho wa Mwezi huu ndio mwisho wa kupeleka malipo ya kodi bila faini kubwa.

Tafadhali msaada wenu wa haraka unahitajika.
 
Back
Top Bottom