Mambo makuu mawili ambayo kijana wa leo unapaswa kuyatafakari kwa hofu.

1. waheshimu baba na mama upate heri.............. , AMRI
2. Waleeni watoto katika njia iwapsayo....MAJUKUMU
3. Kijana atamwacha mama yake na baba nae ataandamana mke/mmewe nao watakuwa mwili mmoja....MAISHA

=======================≠
Kila mtu akiwajibika ktk nafas yake atavuna uzeeni !....watoto uwaleavyo ndivyo watakukumbuka au kukutenga
 
sijaona kitu cha kunifanya nitafakari kwa hofu,leta mengine mkuu
 
KWANZA :
Ukijua iko siku utakuwa Mzee.

PILI:
Ukijua iko siku, Hakika Utakufa.

Mungu atusaidie kuzijua na kuzishi vyema siku zetu hapa duniani.
Umenena vyema mkuu,,,hakika ukiyajuwa hayo UTAPAMBANA VILIVYO kuhakikisha UNAPATA MWISHO MZURI...
 
Kijana akiona makunyanzi yanamnyelea usoni anakosa raha anataka abaki kijana tu . Msiogope karibuni uzeeni
 
KWANZA :
Ukijua iko siku utakuwa Mzee.

PILI:
Ukijua iko siku, Hakika Utakufa.

Mungu atusaidie kuzijua na kuzishi vyema siku zetu hapa duniani.
TATU: KUOA.

Hii ukikosea basi jua utapata tabu sana na wenda ukazeeka mapema sana na kuishi kwa stress maisha yako yote.
 
Back
Top Bottom