Tetemeko la Ardhi lapita jijini Arusha

Tetemeko la Ardhi lapita jijini Arusha

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
Habari zilizo tufikia kwenye meza yetu ya Mwanahabari Huru Kutokea Huko Jijini Arusha ni kua kuna Tetemeko la Ardhi limepita jijini huko.

Kwa habari zaidi tutawaletea hivi Punde
 
Kweli kabisa limepita mida ya saa 8:00 mchana huu
 
Pole yao usiombe likukute unaisi dunia inazunguka mduara.
 
Mapopo wala hawajalisikia wala kulihisi. Bado wamelala.
 
Kwa jinsi matetemeko yalivyo ongozana tanzania. yanaashiria kwamba kuna mtu ameifanyia kitu kibaya tanzania hadi ardhi imechukia.
 
Back
Top Bottom