Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dodoma. Mwanafunzi wa kidato cha tatu Shule ya Sekondari Itega iliyopo jijini hapa, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kujihusisha na uhalifu ikiwamo kumkaba na kujaribu kumuibia mama yake...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tabasamu la matumani...Hongera sana Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu kwa kuendelea kuwapa faraja viongozi pale wanapopata madhila makazini umekuwa unawatia moyo wa matumaini.
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Aslaam aleykum, Nina jini amenijia jana majira ya usiku wa saa 8 nilipokuwa nimeketi najisomea kitabu cha dini. Akaja, akanisalimia kwa salamu ya dini yangu, akajitambulisha kwamba yeye ni jini...
4 Reactions
159 Replies
19K Views
katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na hii kitu,mtanzania/mwafrika mwenzangu,unadhani elimu hii inafaa kwa watoto wetu,maana wazungu wanawafundisha watoto wao,na hii topic ipo kwenye...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Nawasalim wote wanajamii forums, Haya ndiyo nisiyoweza kuyasahau ktk maisha yangu yote! Ilikuwa mwaka 2016 nikiwa naishi kinondoni mtaa wa moscow. Nilikuwa nimepanga chumba kimoja. Nanilikuwa...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ametaka teknolojia mpya ya Kilimo, Ufugaji na Uvuvi inayooneshwa kipindi cha Maonesho ya maadhimisho ya Wakulima na Wafugaji maarufu kama...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu, Nimerudi. Nilikuwa ban eti kwasababu nimemsema vibaya Kangi Lugola, but anyway! Sasa bwana, kwa kipindi nilipokuwa Ban, ikabidi nijipe shughuli i.e. kunotice mambo mbalimbali hapa...
11 Reactions
40 Replies
5K Views
Mimi ni kijana wa miaka 22, mwanafunzi katika chuo kikuu maarufu hapa jijini Dar es Salaam. Nina akiba ya shillingi laki tatu (300,000) nahitaji kufanya biashara yoyote ndogo hususan kwa kipindi...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Ni muda sasa nimefahamiana naye huyu ndugu na best yangu wa karibu. Yeye anavodai hajasomea music ila ana kipaji tu kajaaliwa. Ukimuona huwezi kumdhania kama ana talent nyingi kiasi hicho...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Hii dhana ya shule za vipaji maalum, inanipa shida kidogo kutokana na sababu zifuatazo; Ndio, wanachaguliwa walio na maksi za juu, lakini: - Walimu wanaofundisha ni walewale kama wa shule za...
3 Reactions
127 Replies
17K Views
Nasikiliza Radio five hapa kuhusu tamko la waziri leo roho imenilipuka! Hata kama umepata kazi nje, shule n.k. lazima uoneshe vielelezo na vibali! Mzawa kutoka nje sasa ni issue. Labda tuendelee...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Check status ya maisha yako then angalia marafiki zako na life status yao. Huwezi kutegemea kuwa na hela wakati marafiki zako karibu wote hawana hela.Na hawana vitu 'concrete' vya kupata pesa...
12 Reactions
61 Replies
6K Views
Ukienda misituni na mbugani kuna njia rasmi ambazo ni mapito ya wanyama, hata maji yana njia na mapito yake binadamu, na vyombo vya usafiri pia kila kimoja kina njia yake rasmi.... Baadhi ya njia...
24 Reactions
129 Replies
23K Views
Hivi kama hii, maana yake nini sasa? Hivi umzae mwenyewe na umfanyie ukatili wa kishetani kama huu?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Shuhuda mmoja aliyekuwepo mwenye uokozi amedai kwamba dereva wa Waziri Kigwangalla anastahili pongezi kwa sababu kama angemgonga tu yule twiga basis asingepona MTU mle garini. Amesisitiza kuwa...
3 Reactions
163 Replies
26K Views
Tanzania kama nchi masikini(sio changa) msingi mkubwa wa kuiinua ni kufanya kazi. Ni kwa kufanya kazi pekee ndiko kutakakofanya pato la mtanzania mmoja mmoja likue na multiplier effect yake pia...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Uoga unakufanya umsifie mtu hata kama hana sifa hizo ili wewe uendelee kuwa katika nafasi uliyo nayo Au akupe nafasi unayoiitaji Uoga ulisababisha wazawa katika nchi zilizotawaliwa na nchi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwanafunzi huyo anatuhumiwa kujiunga na kikundi cha uhalifu cha Kamchape ambacho kinajihusisha na ukabaji na uvunjaji katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dodoma. Akizungumza na waandishi wa...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Habari kutoka kwa wataalamu wa anga wanatushirikisha habari ya kupatwa kurefu kwa mwezi kwa karne hii ya ishirini na moja. Kupatwa huku kutatokea kati ya Ijumaa na Jumamosi wiki hii. Mabara yote...
12 Reactions
494 Replies
69K Views
Anaitwa Kevin Peter Hall, au unaweza kumwita ( the predator ) Kwa wale ndugu zangu wenye kumbukumbu na mapenzi ya movie za kimarekani jina PREDATOR litakuwa si geni kwenu maana kazi yake haikuwa...
11 Reactions
33 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…