Juzi nikiwa mkoani Tanga nilijikuta nikisimamishwa na askari polisi akaniambia kuwa kilomita 9 kabla ya kituo chao nilipigwa tochi tena mwanzo wa kibao kinachomalizia limit ya spidi ya 50 km/hr...
Sometimes uchawi ni kama kick tu!
Haiwezekani mtu akatoka Dsm mpaka Kigoma eti kwa fisi ama ungo. Ni uongo mtupu.
Tuaikubali kudanganywa kizembe hivyo. Halafu mbaya zaidi tunadanganywa eti...
Jamani uoga ni asili ya binadamu. Utafiti unaonesha kila binadamu ambaye hajafa ni muoga.
Hapa kwangu yamenikuta, Kuna bundi kavamia, yupo juu ya mpapai analia kwa sauti kama vile anatumia kipaza...
Kama kuna mageuzi yaliyonisikitisha, ni uamuzi wao wa kuondoa chaneli muhimu za ndani kama ITV, Star TV, Channel 10, ...katika free to air pavkage. Kwa sasa wamebakisha chaneli 2 tu: Azam Extra...
Habari wana JF, ni matumaini yangu mko poa na weekend inaendelea vzr kama kawaida.
Leo tarehe 4 august majira ya saa 10.30 nilkua nikitoka posta kuelekea ferry nikiwa mm na rafikiangu, kufika...
Ngoja niwapatie kile ninacho kifahamu!
Nimeona kwa wiki kadhaa watu wakilalamika mtandaoni na kutoa shutuma kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA:
Kuhusu Azam Tv kutokurusha habari! Utaratibu...
Leo nimeona niandike jambo flan juu ya hawa watu maana wanatumia mamlaka yao vibaya sana.
Sifa kuu ya Civil Engineers sio Cheti chenye Ufaulu mkali ukijisifia umetoka na GPA kali sana chuo kikuu...
Nahitaji Kufanya Malipo Katika website fulani nje kiasi kama $5 Tu.
Naomba Msaada mwenye card au paypal account
Ni muhimu sana kufanya leo kabla ya saa 5 usiku, naombeni sana msaada wakuu jamani...
Ingawa kuna majibu mengi sana kuhusiana na maisha yetu hapa Duniani. Kuna mengi tunayoweza kujifunza kwa mfano kuna mtu aliyejlikana kama Steve Paul Jobs wakati akiwa kitandani kwa ugonjwa wa...
Wakuu, hivi kweli tutashindana na haya mashirika kama SAA, Emirates au Ethiopian Airways? Pamoja na mahela yote tuliyolipa, cash, hii ndio business class waliyotutengenezea?
Haya, ngoja twende...
Samahani waungwana mim ni hoja fupi tu
Hivi kulingana Na mada hapo juu HIV ni sawa kumfanyia hivyo mshkaji wako ambae katingwa Ila unapomsaidia unaweka kipengele cha asilimia kumi wengine hadi...
Kwa asiyeweza kunisaidia katika hili naomba pls apite tu,staki kejeli yoyote.
Kwa miaka zaidi ya 15 iliyopita hadi sasa nimekuwa naota nipo na marais wa mataifa tofauti duniani,nikiamka asubuhi...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza naomba kufahamishwa ni aina gani ya vibali vinaitajika ili niweze kusafirisha uduvi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine bila kupata usumbufu wowote ule...
Vitendo vya Ugaidi ni miongoni mwa stori zinazoshika na kuweka headlines kubwa sana duniani, na kwa sehemu nyingi za dunia vitendo hivi sio vya mchezo kabisa.
Kutokana na ukuaji mkubwa wa vitendo...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataka wafanyabiashara kufanya usafi katika maeneo ya maduka yao.
Amesema atakayeshindwa kufanya hivyo, atakamatwa na askari wa Jeshi la Kujenga...
Kwa muda mrefu kumekuwa na hoja kutoka kwa wana CCM kwamba kwa nini Mbowe amekuwa mwenyekiti kwa muda mrefu kama kwamba ni mfalme na kwa nini hataki kupisha watu wengine wakiongoze chama hicho...
Naomba maoni na mitazamo yenu kuhusu hali ya nchi juu ya haki ya raia kujieleza au kutoa maoni yake nashangaa kila kukicha habar za kuzuiwa bila sabab hiyo sio kwa wanasiasa tu bali hata wasio...
Habari wadau
Niliamua kuja kusalimia huko nyumbani lakini kila nikitafakari kauli ya lugola ukitua hapo ukitaka kutoka lazima uwasilishe mikataba ya kazi kidogo inaniwia ugumu na naona dalili ya...