Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ilielezwa kwamba, muswada wa sheria ya fao la upotevu ajira ilipitishwa na bunge na kusainiwa na Mkuu. Hii ilikuwa mwezi wa pili au wa tatu hivi. Je, sheria hiyo inafanya kazi? Kama haifanyi kazi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Asanteni sana wahusika. Sisi wenye dstv inabidi tuangalie chefeko chereko la sivyo tuangalie wakata viuno sound city. Au wacheza uchi sound city Tunashukuru
10 Reactions
134 Replies
16K Views
Fuming builder 'demolishes five new cottages worth £2.5m in pay row' by Chris Kitching 6 hrs ago © Provided by Trinity Mirror Shared Services Limited Five new-build bungalows have been...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Mwaka jana na mwanzoni mwa mwaka huu, kumekuwa na taarifa za kibiashara toka kampuni ya Ttcl za kuvutia wateja kwenye mitandao ya mawasiliano nchini, kwa kauli mbiu yao ya "rudi nyumbani...
2 Reactions
65 Replies
9K Views
Napongeza hatua chanya zinazofanyika ili kuboresha ufanisi wa Bandari yetu {Dar es salaam}.Kumefanyika mchakato wa kuwaondoa wafanyakazi wasio na weredi na sifa ambapo mamia wameondolewa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ni mida ya saa kumi na moja saa za jioni kijana anampigia simu rafiki yake na kusema "samahani rafiki yangu ninashida na hela, mama yangu anaumwa na hapa nilipo sina pesa ya matibabu. Rafiki...
29 Reactions
42 Replies
5K Views
  • Closed
Kumezuka tena tabia ya wizi kwa baadhi ya watumishi wa airport kuwaibia wasafiri mali zao. Hii ni tabia ambayo ilikuwa ni kitu cha kawaida na imezooeleka miaka ya 90. Ninafahamu incidences 3...
19 Reactions
63 Replies
13K Views
Upandikishaji wa kichwa cha binaadamu hadi katika mwili mwengine sasa unawezekana kulingana na wanasayansi Unaposikia habari hii utadhani ni maudhui ya filamu ya kutisha ,lakini wanasayansi...
3 Reactions
51 Replies
7K Views
Channels zote local zimeondolewa Azam. Kuna nini? Au ni mwendelezo wa 'mikwara' kutoka TCRA? Aisee ni hatariiiiii. Tanzania oyeeee!!!
11 Reactions
359 Replies
66K Views
COURT By Adolf Ayoreka MBARARA - High Court in Mbarara on Wednesday refered the case of a woman who was tested HIV negative after six years on ARVs to the magistrates' court for mediation...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Watu wa namna hii tukiwategemea kuendeleza kizazi hiki sijui tutakuwa NA taifa la namna gani huko mbeleni; inasikitisha sana;
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Watu mnasema pesa hamna Uwongo huu Vyuma vimekaza Uwongo huu Hali ni ngumu Uwongo huu Maisha magumu Uwongo huu Hali ni.mbaya Uwongo huu Hali ni ngumu Uwongo huu -Sijawahi kuona vyuma...
3 Reactions
94 Replies
9K Views
Basi la abiria lililokuwa likitoka Makumbusho kuelekea Mbagala Rangitatu limepiga mweleka na kuingia mtaroni katika eneo la Mtoni Mtongani darajani jijini Dar as Salaam leo, chanzo cha ajali...
3 Reactions
21 Replies
8K Views
Kuanzia saa 1 leo, ITV, CLOUDS, STAR TV, EATV na Channel 10 hazipo kwenye king'amuzi cha star times. Sijajua kama nao wameungana na ndugu zao kuondoa locals au labda wamepewa maelekezo.
8 Reactions
138 Replies
22K Views
Meneja wa NSSF Temeke ndugu James Oigo sasa ni mwezi alikamatwa na TAKUKURU kwa kupokea rushwa toka kwa mwanachama. Alifikishwa mahakamani na kuachiwa kwa dhamana. Cha ajabu bwana huyu ameendelea...
4 Reactions
23 Replies
7K Views
Dunia imebadilika watu wanafanya biashara ya viungo vya binadamu kama moyo na figo ambavyo hutumiwa katika trasplantation 'upandikizaji' kwa wagonjwa walio na matatizo ya kifeli kwa viungo ivyo...
3 Reactions
31 Replies
5K Views
Wakuu, Kwa mwaka 2017 unafikiri nani ni member ambaye amekuwa positive impact kwenye maisha ya Watanzania wenzake kwa namna moja ama nyingine. Nafikiri Jamii Media pia wangetoa tuzo kwa hili...
3 Reactions
233 Replies
21K Views
Serikali imefuta kodi ya pango la ardhi katika majengo na maeneo yote ya taasisi ambazo zinatoa huduma katika jamii bila kufanya biashara na kuzalishi faida Hayo yamesemwa na Waziri wa Ardhi...
1 Reactions
8 Replies
7K Views
Tuna baba mwenye nyumba wetu kwa sisi wa mujini, yupo kimya sana, ama kama anaendelea na makeke yake basi itakuwa kwa style ya silent mode! Ki maumbile ni mtu wa makeke, mikwara, mabit, mpenda...
9 Reactions
62 Replies
10K Views
Ulikua ni asubuhi tulivi nilipo kutana na kijana yule ilikua stendi ya magari iliyo mkoani Arusha, tuli salimiana vizuri tukapiga story mbili tatu akaanza kunielezea kuhusu maisha yake:- Yeye ni...
6 Reactions
14 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…