Son of Israel from Africa
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,014
- 2,971
Wanajamvii mimi Kibori Nangaii najiandaa na mwanasheria wanguu kuwafungua Azam TV Kesi kwa kukiuka haki zangu kama mlaji wa bidhaa zakee
Na hii nikutokana na kwamba nimeingia mkataba wa kuonyesha Taarifa ya habari na wamekuea hawanionyeshii.Hivyo kesho tukutane kortin Northern Zone Arusha
Ndio mkome kujichukulia mambo kimazingaraaa
Wanajamii forum kama nawe umekubwa na tatizo hiliii njooo tuungane twende kortin
Najua sii mimi pekee yanguu nimeskitika na jambo hiliii