Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za usiku wakuu Nimekua nikiona kwenye filamu mbalimbali na makala za wanajeshi hasa vitani huwa wanakula vitu flani vipo kama biskuti flani hivi,kwa imani yangu nahisi huwa wanashiba sana...
7 Reactions
35 Replies
6K Views
Habari wa kuu?hua najiuliza huu mwili una nini?na Kwa nini inatokea bira ya kujitaalisha?iweje ata ukimuangali mtu kwa jicho flani hivi hua anashikwa na woga,au kuogopa kabisa?iweje ujue kuna kitu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hapa jiji la Dodoma maliasili wameleta sheria mpya ya kunyang'anya milango kwenye maduka ambayo ipo tayari kwa kuuzwa kwa kuwadai leseni ya mbao. Sasa hatuelewi ni nini baada ya milango...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkutano mkuu wa 42 wa Kanisa la Baptist Tanzania Baptist Convention of Tanzania umemalizika salama jijini Dodoma. Mch Arnold Manase - Amechaguliwa kuliongoza kanisa hilo kwa muhula mwingine...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nashindwa kupata taswira kamili ya uchaguzi wa 2020 kwa kutumia katiba hii tuliyo nayo sasa. Iwapo tutaingia katika uchaguzi wa 2020 kwa katiba ya sasa, maana yake ni nini? Najaribu kueleza...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Meneja Mkuu wa Double Tree hotel Ndugu Ian Mclachlan Akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Paul Makonda Msaada wa Magoro 80 .Akipokea Msaada huo Mkuu wa Wilaya Mh Makonda ameushukuru Uongozi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Huyu kamanda Muroto ana maneno kweli msikilize: MTU MNENE AFYA NZURI LAKINI MHALIFU, USISHIKISHE TUMBO KWA KUIBA, KAZI ZA UJANJA UJANJA HAKUNA, WACHA KURUDISHA TUMBO TUSIONE KUWA HUNA TUMBO FANYA...
5 Reactions
58 Replies
9K Views
Nina hasira sana....sitosalimia maana naweza anza na tusi bure. Kuna traffic officer hapa maeneo ya tabata reli kwenye njia panda ya kuingia tabata na barabara ya buguruni akili zake za kuazima...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana JF, Kuna Facebook page ya NatGeo Wild Live, Mara nyingi wanarusha "live" mihangaiko ya simba au chui wakiwinda toka Krugger Game Reserve- Sabi, huko Africa Kusini. Nikihesabu viewers wa...
2 Reactions
4 Replies
891 Views
HALIMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI. MAPUNGUFU IDARA YA ELIMU MBARALI. Nakumbuka mapema mwaka huu 2018 mkuu wetu wa mkoa kwa nia njema alisisitiza ushirikiano baina ya watumishi ili kuleta...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Zipo nadharia nyingi za Visababishi vya waafrika kubaguliwa. Zipo za kiuchumi, rangi ya ngozi na nywele, Maeneo tunayotokea na hata Dini. Katika yote ubaguzi halisi unafafanuliwa na neno...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
TLS inaendesha mafunzo ya siku tano yaliyoanza leo tarehe 20/8/2018 na yanayotarajiwa kumalizika tarehe 24/8/2018. Mafunzo hayo yameandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanzania Bara (TLS), kwa...
0 Reactions
1 Replies
43K Views
Nilipofika dar kwa Mara ya kwanza nilishangaa kuona watu wakitembea haraka haraka kama wamekanyaga kaa La moto tofauti na mikoa niliyoishi,si mtoto wala si mtu mzima wote hali moja, Yaani kifupi...
8 Reactions
67 Replies
10K Views
Salaaam/Shalom Natumai mmeamka salama na mnaendelea vyema kabisa wakuu. Well, Kama mada inavyojieleza hapo juu ni katika kuelimishana na kuwekana sawa kuhusu masaa baina ya nchi na nchi. Hili...
2 Reactions
106 Replies
18K Views
Hebu tujuzane kwa sasa Makandarasi wetu wa hapa Dar es salaam katika miradi mingi hususan ya Bara Bara imekua ikitekelezwa kwa spidi ndogo mno, tofauti na wale wa mikoani sijui hili linatokana na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Moshi. Watu watano waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kumuua kwa makusudi mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha, Erasto Msuya, wamewasilisha notisi ya kukata rufaa Mahakama ya Rufani...
2 Reactions
47 Replies
7K Views
Wadau kwema? Naombeni msaada wenu, kuna Rafiki yangu anataka kununua Gari lakini muuzaji alilingiza nchini kwa Exemption. Muuzaji anasema kua kadiri gari inavyozidi kutumika hapa nchini basi...
1 Reactions
43 Replies
9K Views
alipoletwa mshambuliaji aubrey chirwa kuja kuichezea yanga alicheza mechi kadhaa pasipo mfanikio. wazee waliitwa waangalie jinsi gani wanaweza boresha kiwango cha mchezaji huyo. mzee akilimali...
0 Reactions
2 Replies
995 Views
Kwanini dagaa wa Kigoma wapo safi hawana mchanga? TFDA taasisi Ya ubora wa dawa na Chakula mnatuangusha,kwanini wawepo dagaa wenye mchanga na wasio na mchanga. Mh.Waziri Mpina wewe ni hodari na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Dini zetu zote zinatabanahisha, kupitia maandiko matakatifu, kuwa yako maisha baada ya haya ambayo tutayahitimisha kwa njia ya kifo. Infact, kwa mujibu wa maandiko ni kwamba maisha yajayo...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…