Lady Ra
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 879
- 988
Wadau kwema?
Naombeni msaada wenu, kuna Rafiki yangu anataka kununua Gari lakini muuzaji alilingiza nchini kwa Exemption. Muuzaji anasema kua kadiri gari inavyozidi kutumika hapa nchini basi amount ya Exemption nayo inazidi kupungua sababu "Market Value" ya gari nayo inashuka.
Ni gari iliyokaa hapa nchini zaidi ya Miaka mitano, na huyo rafiki yangu anataka kuinunua ili kumsaidia Muuzaji ambae ni mtu wanafahamiana na amekwama kifedha. Kwa vile anataka kubadili Umiliki akishainunua, je atalazimika kulipa Exemption fully vile vile kama ilivyosamehewa? au itakua imepungua?
Msaada wenu kwa Wajuzi please.