Chimbuko/historia ya tahajudi 'meditation'

songera

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
1,302
510
Chimbuko/historia ya tahajudi 'meditation' Chimbuko/historia ya tahajudi 'meditation' ~ MUUNGWANA BLOG
 
Meditation yaweza kuwa mbaya sana hasa inapokuwa formalized kwani baadhi ya watu wabaya waweza kuweka program mbaya za kiroho katika hatua wanazopendekeza na hivyo kuwa mlango wa kuingiza pepo wachafu ndani ya mwanadamu, Kuwa makini sana na meditation. Usipende kukubali vitu kama "empy your mind" kwani unaweza kuacha uwazi kwa mapepo kuingia. Fanya tafakari "meditation" ya kawaida ya kutulia popote ulipo hata ukiwa kwenye basi au unatembea na kutafari juu ya chochote utakacho. Achana na vitu kama yoga vina mambo yasiyo mazuri kiroho.
 
...unatumia neno 'yaweza' halafu mwisho unahitimisha kama unao ushahidi vile anuai kusupport 'hisia' zako!
Wasalimie!
 
Back
Top Bottom