Vyeo vya askari na wanajeshi

Vyeo vya askari na wanajeshi

Petrol Tank

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2018
Posts
205
Reaction score
372
Jamani wadau nimekuwa najiuliza sana maana na namna askari wanavopapata vyeo na kupanda vyeo, mfano koplo, Sargent, nk naomba anaejua anisaidie
 
Tupo nao humu kiongozi aidha labda wapo lindo tu wakiwa free watakuja hapa kukujibu mkuu.

Ahsante
 
Ongezea pia suala la posho nataka wanapata kiasi gan mfn luten usu, nijitupe uko niache kupoteza muda kwenye siasa za maji taka
 
Kwanza mwanajeshi na askari kuna tofauti gani?

Au ulimaanisha Askari na Afisa?
 
Jamani wadau nimekuwa najiuliza sana maana na namna askari wanavopapata vyeo na kupanda vyeo, mfano koplo, Sargent, nk naomba anaejua anisaidie
Kwenye maisha yako ya kawaida ukishavijua hivyo vitakusaidia nini? huna vitu vingine vya kujifunza?
 
Niko lindo. Bado napokea alfu alfu ili dada poa watumie hapa ninapolinda na wateja wao. Nikimaliza kupokea pesa nitakuelimisha.
 
Kuna vyeo kupanda lazima uende kozi, vingine ni kùfanya majukumu yako kwa uweledi
 
Back
Top Bottom