ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,346
- 4,611
Kuna jambo limenistua sana;
Mwanafunzi amefika katika hospitali akiwa na Bima ya Afya ya NHIF ya chuo flani hapa Dar,kisha akaambiwa kuwa bima yake haijalipiwa.Ni bima mpya ya kama miezi miwili na imelipiwa kupitia chuo.
Niulize tu hivi kama nina kadi validi ya bima ambayo bado iko active je ni sawa kuambiwa kuwa bima haijalipiwa au kuna mchezo unafanywa wa kula hela za wana chuo?