steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,194
- 1,636
Pengine unafahamu au haufahamu ukisafiri kwa ndege kutoka mji waa Tokyo nchini japana siku ya jumapili SAA kumi na moja kuelekea mji wa Maryland nchini marekani unafika Jana? Yaani unaondoka jumapili unafika jumamosi ambayo ulisha Iona ukiwa tokyo[emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji3]