Ni muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza swali hili bila kupata majibu yanayoeleweka!,
Ni kuhusu alama ya unyayo wa mguu wa kushoto na mkito wa fimbo ulioachwa kwenye jiwe pale kwenye milima ya...
Humu ndani hakuna maskini wakuu, humu hakuna mwenye njaa ya pesa ndogo ndogo , wote humu kweny akaunt tuna hela za kutosha sana, humu ukisema unamiliki vitz shauri yako mwenyewe na umaskini wako...
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea ivi inakuwaje unamkuta mzee anafanya kazi nzuli ana uwezo mkubwa wa kifedha lakini unakuta familia yake hapo nyumbani wanaishi maisha ya shida.
Nazagumza...
Teknolojia imebadirisha kabisa mwenendo wa maisha yetu kuanzia 'consciousness, Culture, perception, behavior, social construct, production, belief' etc.Sasa swali ni je umewahi kujiuliza bila ya...
A report issued by the World Health Organization states that the Ebola outbreak in West Africa was the largest and most complex since the detection of the virus in 1976. The outbreak reached an...
Ushauri tuu ni bora akamwambia demu nakupenda mapema akukataee kuliko kudhamini show yaan msosi mapene afu at ndo unafunguka.kuna mdau apa anapumulia mashine baada ya kuambiwa mbona Mimi Nina...
Mke wa marehemu Amri Athumani maarufu kama Mzee Majuto amesema kuwa amefukuzwa katika nyumba aliyokuwa akiishi na mume wake jijini Tanga maeneo la Donge.
Amesema kuwa watoto wa marehemu pamoja na...
Kwa mujibu wa taasisi inayojiita Baraza Kuu la Waislamu Tanzania, siku ya Jumatano ndiyo ya Umul Eid el Hajj.
Mimi binafsi nimeshindwa kujua kwanini siku hii imekuwa tofauti na mataifa mengine ya...
Polisi na familia zao wanaoishi katika kambi maarufu Police Line, wanaishi gizani kwa mwezi mzima sasa baada ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuwakatia nishati hiyo kutokana na malimbikizo...
Ukitaka kujua maana halisi ya siasa na uongozi na hasa unapokuelezea mtu anayekuwa na unafiki mwingi au wa kujipendekeza kujipendekeza muulize maswali haya machache
1. Swala la uchumi kukua
i...
Ukitaka kujua maana halisi ya siasa na uongozi na hasa unapokuelezea mtu anayekuwa na unafiki mwingi au wa kujipendekeza kujipendekeza muulize maswali haya machache
1. Swala la uchumi kukua
i...
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea ivi inakuwaje unamkuta mzee anafanya kazi nzuli ana uwezo mkubwa wa kifedha lakini unakuta familia yake hapo nyumbani wanaishi maisha ya shida
Ni kwanini...
Habari wanajamvi,kuna msanii nilianza kumsaidia kusimamia kazi zake kirafiki zaidi,ila sasa matunda yanaanza kuonekana. Wakati huo tulikua hatujaingia mkataba wowote,sasa tunataka kuingia mkataba...
Huu wizi wa startimes kwa watanzania utaisha lini?
Siku za karibuni walikuja na option ya kubadili kifurushi kwa simu na pia wakaweka vifurushi ya siku week na mwezi
Sasa mimi juzi niliunga cha...
Nipo jamaa mmoja hapa ananipa story za Norway ameniambia ukiwa mfungwa tu wa gerezani hautamani tamani kurudi bongo ukweli sijaamini hata kidogo mwenye kujua kuhusu hii kitu please.
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea ivi inakuwaje unamkuta mzee anafanya kazi nzuli ana uwezo mkubwa wa kifedha lakini unakuta familia yake hapo nyumbani wanaishi maisha ya shida.
Nazagumza...
Leo August 22, 2018 ikiwa nisiku ya Eid Al-Hajj dereva wa Gari aina ya ALPHARD yenye namba za usajili Z 682 HP amenusurika kufa baada ya kupata ajali katika maeneo ya dimani njia ya kuelekea FUMBA.
Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania inawawezesha wateja wake kufanya usajili wa nambari zao za simu kwa njia ya kielektronikia kupitia simu za mkononi, mfumo ambao unatoa urahisi kwa kila...