Mada moto: Hivi inakuwaje unakuta baadhi ya wazee wana uwezo lakini familia zao zinaishi kwa shida

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea ivi inakuwaje unamkuta mzee anafanya kazi nzuli ana uwezo mkubwa wa kifedha lakini unakuta familia yake hapo nyumbani wanaishi maisha ya shida.

Nazagumza ivyo kutokana na mzee mmoja hapa yupo vizuli kimaisha lakini watoto wake wanaishi maisha ya kusikitisha yaani unashangaa sometime mshikaji anakupiga kibomu cha vicha ya jero amekwama lakini unashanga baba yao ana uwezo lakini wapi .

Ni kwanini inatokea hali kama hiyoo katika maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nazagumza ivyo kutokana na mzee mmoja hapa yupo vizuli kimaisha lakini watoto wake wanaishi maisha ya kusikitisha yaani unashangaa sometime mshikaji anakupiga kibomu cha vicha ya jero amekwama lakini unashanga baba yao ana uwezo lakini wapi ,yaani kuna time unaikuta familia inaishi maisha ya dhiki shida mpka mnawaonea huruma lakink unashangaa pale unapoona mzee wao ana uwezo lakini hawasaidiii

Ni kwanini inatokea hali kama hiyoo katika maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea ivi inakuwaje unamkuta mzee anafanya kazi nzuli ana uwezo mkubwa wa kifedha lakini unakuta familia yake hapo nyumbani wanaishi maisha ya shida.

Nazagumza ivyo kutokana na mzee mmoja hapa yupo vizuli kimaisha lakini watoto wake wanaishi maisha ya kusikitisha yaani unashangaa sometime mshikaji anakupiga kibomu cha vicha ya jero amekwama lakini unashanga baba yao ana uwezo lakini wapi .

Ni kwanini inatokea hali kama hiyoo katika maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto wa ukubwa gani? Chini ya mika 18 au juu ya miaka 18?

Maana kama ni watoto wenye umri wa kujitegemea hapo lazima tuhoji mambo mbalimbali pia. Inawezekana mzee alifanya jitihada fulani lakini mtoto mwenyewe akawa mzinguaji kiasi kilichomkera baba yake.

Lakini kama watoto ni chini ya 18 hapo ni kwamba mzee mwenyewe ni mtata. Maana kuna madingi wengine hawajali mambo za familia, wao wanajali miradi yao tu. Ni hii inaweza kusababishwa na aina ya malezi aliyoyapata kutoka kwa wazee wake na familia yake enzi hizo zake; huenda naye alikulia mazingira ya aina hiyohiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wametafuta na kujiwekea kwaajili ya umri ambao hawatajiweza,wewe umeshasomeshwa unakaa nyumbani kusubiri kulishwa?,yeye angefanya kama unavyofanya wewe kusubiri bure,asingekuwa na hizo ela.
Ametimiza wajibu wake TOKA KAPAMBANE,ndiyo nyie munaolia kwa kuhofia kesho mshua akikata roho,acheni ufala,kapambane.
 
Ni vijana wakubwaa aisee umri kama kwenye miaka 25 au 26 kwa mfano huyu kijana ambae huwa ananipiga mzinga simetime huwa natamani kumuuliza

Ivi inakuwaje mzee wako ana uwezo ashidwe hata kukupa fedha ya kufanya biashara kuliko kuangaika angaika na dunia ila vitu vingine vinasikitishaa mzee yupo serikali anafanya kazi nzuli tuu ila mtoto wake anategemea biashara ya kuchoma mahindi aendeshe maisha

Ila kuna wengine unajua unaweza ukawaulumu wazazi kijana kamaliza chuo hana hata ajira basi ampe hata basi mtaji wa biasharaaaa au amsaidie kutafuta kazi yoyote ile lakini unakutaaaa.

Kijana anazunguka na dunia nzima amechoka hadi nauli anagongeaa kwa marafikiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vijana wakubwaa aisee umri kama kwenye miaka 25 au 26 kwa mfano huyu kijana ambae huwa ananipiga mzinga simetime huwa natamani kumuuliza

Ivi inakuwaje mzee wako ana uwezo ashidwe hata kukupa fedha ya kufanya biashara kuliko kuangaika angaika na dunia ila vitu vingine vinasikitishaa mzee yupo serikali anafanya kazi nzuli tuu ila mtoto wake anategemea biashara ya kuchoma mahindi aendeshe maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni umri huo basi mzee ana haki....

Mtoto ameshafika miaka 26 halafu anakaa anashangashangaa tu badala ya kufanya mishe. Ujue wazazi wanawajua watoto wao vema, hivyo inawezekana kabisa mzee anajua kuwa mtu huyo siyo wa kumpa mtajia.

Mtoto hata hawezi kuchukua small initiative za kufanya kazi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom