Maisha bila internet ni giza nene

Maisha bila internet ni giza nene

Tangantika

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2018
Posts
5,806
Reaction score
7,429
Teknolojia imebadirisha kabisa mwenendo wa maisha yetu kuanzia 'consciousness, Culture, perception, behavior, social construct, production, belief' etc.Sasa swali ni je umewahi kujiuliza bila ya vitu vifuatavyo ungeutumiaje muda wako?
1.wasap
2.facebook
3.mitandao ya simu
4.internet
6.Blogs
7.Youtube nk
Bila ya vitu hivi je watu tungekuwa tunafanya nini? Tungekuwa walevi sana? Waasherati sana? Watembezi sana?Tungekuwa tukifanya kazi sana! Tungewaza nini maana muda mwingi ukimkuta mtu kajikalia basi anasimu na hajishughulushi na mengine na hata kazi zinadolora kw sababu ya hivi vitu.Je tulioishi kabla ya vitu hivi ni kama tulikuwa gizani, mbumbu tusiojua dunia inakwendaje?
 
Kazi hazitakiwi kudoda kwa sababu ya internet. Zinatakiwa ziboreshwe zaidi.

Kuna mtu pia aliuliza inakuwaje kama Google ikifutwa tukashindwa ku Google kilichokuwepo ktk gugo...hahahahaaaa

Wa kwanza Ku reply si wa kwanza kwa umuhimu
 
Mbona zamani kulikua hamna hivyo vitu, ilikuaje?
 
kwa kweli vinatuua slowly,hatuwazi kufanya vingine ,mpaka mtu anajichukia
 
Hii ni new era addiction. Consequences zake tutazijua baadaye
 
Back
Top Bottom