Leo katika pita pita zangu hasa maeneo haya ya Sinza yaani nikaona kabisa wamemvamia jamaa hadi nikamuonea huruma yule mtu yaani wakawa manajipanga yule mtu anakagua mmoja badala ya mwingine na...
wazungu ndio wanatupa misaada tunawaita wafadhili,,,huyu ndiye anayetupa hela ya kujisaidia anatumia usafiri wa baiskeli,,
sisi maskini akipita mfalme barabara zote zinafungwa mji unasimama eti...
HABARI ZEBU WANAJAMVI???
Kwa muda mrefu sasa nimekua nikisikia sikia tu kuhusu keko kwa ujumla wake,kata ya keko inapatikana wilaya temeke.
Mtaa wa keko magurumbasi ndipo hupatikana kwa uraisi...
Elimu ni jambo njema sana. Linamfanya mtu kufungua ubongo wake kwa mapana.
Hata hivyo elimu tu haitoshi linapokuja suala la uongozi. Katika qualities za uongozi bora elimu ya madegree na maPhDs...
Michael Nhonya (mnhonya) Tweeted:
Naunga mkono hoja ya kupeleka watumishi wa kanisa kusoma kwanza kabla hawajaongoza Makanisa.
Tunataka kuepukana na imani potofu. Ambazo nyingi husababishwa na...
Humu ndani hakuna maskini wakuu, humu hakuna mwenye njaa ya pesa ndogo ndogo , wote humu kweny akaunt tuna hela za kutosha sana, humu ukisema unamiliki vitz shauri yako mwenyewe na umaskini wako...
Ilikuwa ni asubuhi tulivu siku ya tarehe 23 .8. 2016 ulipo ondoka gafla baba yangu mpendwa na kutuachia huzuni kuu ndani ya mioyo yetu.
Wanao wapendwa ni mwaka sasa tangu ututoke kila ni...
Maprofessor hupatikana baada ya msomi kuwa na shahada ya kwanza,ya pili na uzanifu,pia huteuliwa na bodi ya maprofessor kuwa professor baada ya kuandika marejeo kadhaa
Ila kuna uhaba wa...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Monduli amekuwa chanzo cha vurugu za ardhi eneo la Makuyuni linalopitiwa na msongo mkubwa wa umeme 400Kv. Baadhi ya kuona wenye maeneo yanayopitiwa na umeme watalipwa...
Wadau baada ya kukomaa na kuandika sasa nahitaj msaada wenu kwa MTU yoyote ambae anapicha za eneo hilo na mkodi anitumie,
Nahitaji picha ambazo zitaonyesha mazingr ya ya nje
Mazingr ya wa kazi...
Wakuu nianze hivi, mimi miez kama mitatu imepita nlikuwa nakatiza kariakoo-mtaa wa Agrey na mshikaji wangu mara akapita binti mkali jamaa akanishtua nimwangalie ( kama ilivyo hulka ya wanaume...
Siku hiyo mume alirudi nyumbani ghafla huku akiwa anahema na kutokwa jasho alipofika nyumbani mke akamuuliza.
“mmewangu mbona leo umerudi nyumbani mapema kulikoni kuna tatizo gani? “
Mme akajibu...
Tukio hili lilitokea mwishoni mwa miaka ya sabini katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya watu wa Congo ambayo kwa wakati huo ilijulikana kwa jina la utani " nick name " la Zaire.
Televisheni...
Kumekuwa na video inayo sambaa juu ya kibao cha alama za barabarani huko Rusumo - Ngara.
Kwa uelewa wangu ile video ina potosha sana ukweli huyu mtu anaeongea hata hajuii nini maana ya kile kibao...
wadau kwa anayejua sehemu chumba self contain kinapatikana Dodoma mjini, anijuze ni wapi pamoja na bei yake. Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
wadau kwa anayejua sehemu chumba self contain kinapatikana Dodoma mjini, anijuze ni wapi pamoja na bei yake. Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
wadau kwa anayejua sehemu chumba self contain kinapatikana Dodoma mjini, anijuze ni wapi pamoja na bei yake. Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
“I am coming soon. Hold on to the faith you have, so that no one can take away your crown. Those who win the victory will be pillars in the temple of my God.
I will make that happen for them...
Habari wanajamvi,
Kuna msanii nilianza kumsaidia kusimamia kazi zake kirafiki zaidi, ila sasa matunda yanaanza kuonekana. Wakati huo tulikua hatujaingia mkataba wowote, sasa tunataka kuingia...