Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mmiliki wa kituo cha mafuta lake oil kibaha natumia jukwaa hili kukutaarifu upuuzi na uwizi unaofanyika kwenye kituo chako. Nimekuwa mteja mzuri wa kituo hiki kwa muda mrefu lakini nilikuwa...
2 Reactions
26 Replies
5K Views
NILICHOJIFUNZA KATIKA MSIBA WA MAMA YAKE SUGU MOSI ni uhusiano wa kijamii. Pili ni mahakama na athari za uamuzi wake. UHUSIANO Katika ibada ya kumwombea mama yake Sugu, Desderia Mbilinyi...
12 Reactions
13 Replies
3K Views
A,aleykum warahmatullah wabarakatu naam kwa wale wafuatiliaji wa darsa zangu nadhani hawatakuwa na ugeni na namna ambavyo ninavyowachambua Majini na Wachawi lakini pia habari kuhusu Nyota,Ndoto...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Watu wasioamini uwepo wa Mungu huko Kenya wameitaka serikali ya nchi hiyo kuwatambua na kuwatengea siku yao maalumu kama wakristo na waislam walivyo na sikukuu zao za kidini Rais wa chama hicho...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Naombeni kufahamishwa jinsi ambavyo mtu anaweza akapata nafasi ya kujitolea kufanya kazi kwenye mashirika ya ndani au yakigeni Nawasilisha naombeni msaada wenu
1 Reactions
11 Replies
10K Views
Hii kasumba ya kulea na kuwafuga mashoga imekithiri Wengine ni mastaa wa bongo maarufu wengine ni wanasiasa wakubwa maarufu wamegeukia kuwafuga na kuwalea mashoga Wanawaweka mjini wanawalipia...
2 Reactions
68 Replies
14K Views
Wakuu habari za jioni, kama wiki mbili zilizopita niliomba msaada wa kuoneshwa zilipo ofisi za jumuiya ya kiuchumi ya Nchi za kusini Mwa jangwa la sahara SADC hapa Tanzania, Kuna mdau alinipa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Japo mie nshaacha kununua magazeti muda mrefu, ila hupenda kusikiliza kwenye radio kimhutasari magazeti yametoka na habari gani za siku husika. Leo sikuamini kama gazeti linaloheshimika la...
3 Reactions
51 Replies
11K Views
Mliokuwa mnasema siwezi kuajiriwa bora nijiajiri kwa biashara zangu na mkasema hata nikiajiriwa ntafanya kwa miaka kadhaa naacha ajira swali langu mmeshaacha ajira au imekuwa ngumu? Nasubiri...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Baba Askofu GWAJIMA nambariki Mungu kwaajili yako Baba, Ni kweli ufalme ukifitinika hakika hauta simama... Bishop nakumbuka kipindi kile Bashite anakutishia maisha kwamba yeye ni mtoto wa baba...
3 Reactions
52 Replies
6K Views
Kwanza nitoe pongezi zangu kwa mamlaka ya mawasiliano kwa kudhibiti uonyeshaji holela wa chanel za ndani kwa makampuni ambayo hayana mkataba wa kuonyesha chaneli hizo. Pili naipongeza hatua hii...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Hili swali nimeulizwa na madogo hapa kota ninakokaa baada ya helikopta kupita chini chini wakawa wanaishangilia ndipo alipotoka dogo mmoja akaniuliza helikopta inatumia mafuta gani? Nilitaka...
3 Reactions
31 Replies
10K Views
Hapa no watumishi wote wa serikali na wàsio Mshaharà Halali utaubajtia na utakuvusha japo kwa kuunga unga hadi mwezi mwingine Ila hela ya rushwa haina furaha,hela yote na dhahabu ñi vya Mungu...
0 Reactions
5 Replies
973 Views
Siku moja iliyopita nileleta mada hapa JF nikihoji kama madikteta si watu ambao ni wagonjwa wa akili na baada ya maelezo kadhaa nili-conclude mada yangu kwa assumption hii: "All dictators are...
2 Reactions
2 Replies
884 Views
Kuna vipaji huku pia nenda Ngara msikilize Kanyesha Faustine Kwizera FM,nenda jijini Dodoma Kifimbo FM Kuna Izack Zungu,Divine FM kuna Helen Poul na kadhalika Ombeni Demo mtumiwe Sio kukaa mjini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Koffi Anan anasema kiongozi yoyote mwenye busara na akili lazima awekeze kwenye kujenga taaisisi imara zitakaoishi badala yake na sio jina lake.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndo nini hiki sasa, kweli ajali za boda boda mnatuonesha nyumbu? Kweli mmetuchoka Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
8 Replies
982 Views
Wakuu naendelea na ziara ya kuzuru maeneo mbalimbali ya Dunia, na sasa nipo nchini Bolivia. Wenyeji wa hapa ni wakarimu sana. Ila kwenye pitapita nikasikia sakata linaloendelea la gavana wa jimbo...
13 Reactions
51 Replies
5K Views
  • Closed
Mimi Ni muislamu naelewa ninachoandika kabisa wala sikutumwa. Nazungumzia waarabu na sio wazungu kwa sababu anaposemwa muarabu alikuwa katili nadhani waisalmu wenzangu wanachoelewa kwamba...
5 Reactions
70 Replies
10K Views
Habar wanajamii Kama mada inavyosema hapo juu. Hili ni bandiko linalobandikwa kwa vilevi kwa asilimia kubwa kwanini halisimamiwi na Serikali? Nimeona kwenye sinema za wenzetu wakiomba...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…