Hivi mafuta ya helikopta ni sawa na ya ndege?

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Hili swali nimeulizwa na madogo hapa kota ninakokaa baada ya helikopta kupita chini chini wakawa wanaishangilia ndipo alipotoka dogo mmoja akaniuliza helikopta inatumia mafuta gani?

Nilitaka kumjibu diesel au petrol nikajikuta namumunya maneno bila kutoa jibu sahihi..

Naomba kujizwa wakuu
 
Ndege nyingi hutumia mafuta ya taa(kerosene) iliyochanganywa na benzene ili kuyafanya yasigande ndege inapokuwa angani.
 
Back
Top Bottom