Habari wana JF. Mwenye kufahamu wanao safirisha mizigo kama vitanda, fridge, jiko nk) anipe muongozo tafadhali...
Shukran.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana JF. Mwenye kufahamu wanao safirisha mizigo kama vitanda, fridge, jiko nk) anipe muongozo tafadhali...
Shukran.
Sent using Jamii Forums mobile app
Press conference ya CHADEMA ilikuwa mida ya mchana lakini cha ajabu pamoja na uzito wa ile habari, ITv hawakuiweka kwenye taarifa ya habari.
Ina maana siku hizi CHADEMA ndio imekosa mvuto kiasi...
Watoto hawafundishwi uhalisia ktk baadhi ya masomo,
Kinachofanyika ni kuwajaza illusion,
Hii inapelekea kudumaza uwezo wao wa kifikra na tafakuri kiujumla,
Mtoto akifundishwa kitu hukishika na...
Ebola ni gonjwa la kutisha sana, hii ni kwasababu huambikiza kirahisi sana, huua haraka na vibaya sana na halina tiba mpaka sasa! Tunaambiwa gonjwa hili linasababishwa na kirusi kinachopatikana...
Watoto 2 wafariki dunia baada ya kuangukiwa na ukuta na wengine 3 wamejeruhiwa vibaya
Watoto hao walikuwa wakicheza jirani na ukuta huo. Waliofariki ni Ali Kondo mwenye miaka 4 na Mwajuma Hamada...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mh. Selemani Jafo, akiwa anaongea kwenye kipindi cha Tunatekeleza cha TBC, saa 6 mchana, amesifia kazi kubwa...
Two seismic overlapping events, one celestial, the other manmade ,created the unique condition igniting the Northern California fires that swept through pine country on October 8 and 9. The chain...
Natamani sana nimjue huyo aliyewabunia huu mtindo mpya mliouanzisha kama mwezi sasa wa kusimama wakati mkisoma muhtasari wa habari kisha mnatugeukia na kutuonyesha makalio yenu ambayo wengine mna...
Son of Sam Law au kwa kiswahili kisicho rasmi Sheria ya Mtoto wa Sam ni sheria iliyotungwa huko majuu kwa wenzetu kuzuia mhalifu kunufaika na uhalifu wake kupitia mauzo ya filamu, vitabu au...
Abiria anapaswa kuandika barua kwenda kampuni husika ya bima iliyokatiwa hilo Bus. Katika barua hiyo aambatanishe vifuatavyo
1.TIKETI YA SAFARI.
2.CHETI CHA MATIBABU YA HOSPITALI.
3. FOMU YA...
Serikali Imetoa Ufafanuzi Kuhusu Tamko Lake La Awali Kuhusu Umiliki Wa Line Za Simu.Tamko La Awali Lilieleweka Kuwa Mtu Anatakiwa Kuwa Na Line Moja Tu Ya Simu.
Ufafanuzi Huo Umesema Kuwa, Ni Line...
Mtuhumiwa anayehusishwa na mauaji ya Wanawake 29 katika mikoa ya Geita, Mwanza na Shinyanga amekamatwa katika operesheni iliyofanywa na Polisi
Katika mauaji hayo yanayohusishwa na imani za...
Kila mwanachi anastahili kupata utulivu nyumbani kwake. Hiyo ni haki ya msingi kwa kila raia. Mbali ya hayo wengine tuna wazee wenye matatizo mbali mbali, wengi wao wanahitaji utulivu majumbani...
Inasikitisha sana.Vijana wadogo umri ambao inatakiwa wawe shule kidato cha kwanza au cha pili wapo kitaa wanakula bangi!kibaya zaidi baadhi yao hadi wazazi wao wanafahamu fika kuwa wanavuta...
Hi guys.... Huyu apa ni MTANZANIA mwezetu. Tunaombeni Msada kwa yeyote anae mjua huyu jamaa... Au anaye mjua ndugu Yake yeyote. Kwan amefariki Dunia Jana tr 22/08/2018 nchin ZAMBIA na bado...
Benki ya Exim inatarajia kupiga mnada hoteli ya kifahari ya Slim Slim pamoja na samani za kumbi za mikutano vilivyopo Bagamoyo mkoani Pwani baada ya mmiliki huyo kushindwa kurejesha mkopo wa TZS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.