Clouds, EFm, TBC Taifa na East Africa Radio huwa mnaajiri vipi? Chukueni watangazaji hawa wa wilayani

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Kuna vipaji huku pia nenda Ngara msikilize Kanyesha Faustine Kwizera FM,nenda jijini Dodoma Kifimbo FM Kuna Izack Zungu,Divine FM kuna Helen Poul na kadhalika

Ombeni Demo mtumiwe
Sio kukaa mjini tu
Instagram:kaukwaju
 
Waafrika bhana, kwahiyo wasikilizaji wa wilayani hawana haki ya kupata vitu bora?Maana hata wakishafika huko clouds wakizidi kung'ara mnaanza kushauri wapelekwe bbc sijui dw mnajiona hamna haki ya kusikiliza vitu vizuri.
 
Back
Top Bottom