Nimepokea habari hizi kutoka kwa msanii wa kuitwa Nash Mc, ameandika kwenye ukurasa wake wa FaceBook, sina shaka na habari yake kama na yeye hajasikia hewani hewani.
Kapteni Derick Mukandala...
TV Station pekee yenye "Mazungumzo Baada ya Habari" na "Matangazo ya Vifo". Na taarifa ya habari ina tarehe!
Kama kuna station nyingine zenye haya tujuzane. La sivyo TBC tafadhali mjipime muende...
Niko nasikiliza Radio mojawapo ya Kanisa Catholic; wameanza na miziki ya Ki-Congo kama Ndombolo ya Solo na Awilo, ambayo hata maana yake siijui, ikafuata ya Snura na Shundu (kama sio Shindi)...
wanajukwaa jambo?
Kwa wale wenye ufahamu na maswala ya ndoto tafadhalini naomba mtoe mchango wenu hapa,
Imekuwa kawaida kwangu kuota kwamba niko mazingira ya masomoni, (msingi, sekondari au...
Habarini wana jamvi...
Naomba kujua safari za treni zipoje...kutoka morogoro -mwanza..
Ratiba yake Na nauli.
NB. Nimeangalia kwenye website wao sioni kitu
Mtoto mchanga mwenye jinsia ya kiume ameokotwa porini akiwa katika mfuko wa Salfeti katika kijiji cha Mbede Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe Mkoani Katavi ambapo hata hivyo mtoto huyo ana afya...
Habari za hapa wana JF wapendwa, natumaini mposalama wa salmin !! Leo nataka ni wasemee hawa watu wa BODI YA MIKOPO TANZANIA!! Kwa kitendo chao cha wao kuto kuwa waaminifu dhidi yetu sisi...
Habari wakuu,
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 20. Nipo kijijini na sina kazi, hivyo kama kuna mtu anaweza kuniajiri nitashukuru, nitampa taarifa zangu muhimu kwa uhaminifu zaidi.
Sifa zangu ni...
Mwenye mkataba kati ya Dangote Cement na TPDC kuhusu makaa ya mawe naomba anisaidie niupate.
Pia mkataba kati ya Dangote Cement na TPDC kuhusu gesi wa miaka 20 pia nauomba.
Tuanze kuangalia...
Inaumiza sana wazazi, walezi na wafadhiri kugharamikia nauli na malazi pindi MTU aitwapo interview inapaswa makampuni na taasisi za serikali zijipange pindi zinapotaka kuajili na sio kuzirudisha...
New York iko masaa 3 mbele ya Calfornia...lakini hii haimaanishi Calfornia inaenda taratibu au labda New York iko mbio sana..Zote ziko sawa isipokuwa kila moja ina TIME ZONE yake
Kuna mtu yuko...
Ninashindwa kupata maneno mazuri ya kutumia ili kumaanisha majonzi, kilio na masikitiko yangu. Kwa kweli inaudhi, inakera na inaumiza.
Kwamba kwa miaka kadhaa sasa nilitafuta namna ya kukabiriana...
Ili upate kazi nchi zingine unafanya mitihani sita. Not easy kabisa mfano mzuri India. Hapa nchini just one exam umeshalamba kazi.
Still Tanzania kuna urahisi sana.Tukifeli ni sisi wenyewe vichwa...
Mesaki: Mhadhiri aliyepata shahada ya uzamivu kwa kutafiti uchawi
APR 16, 2012by RAIA MWEMAin
Mmoja wa wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Simeon Mesaki alitunukiwa shahada yake ya...
Kuna hii tabia mimi huwa siielewi kabisa ya kuzungumza kilugha kwa sauti ya juu kwenye public areas. Tabia hii wanapenda sana watu wa Kanda ya Ziwa, Wamasai na watu wa Kanda ya Kati.
Unaeza...
Pontio Pilato Alikuwa Nani?
“PILATO alikuwa mtu mwenye dhihaka, mwenye kutilia shaka mambo, na anayewashangaza watu. Watu fulani humwona kuwa mtakatifu, wengine humwona kuwa mtu dhaifu...
Mwandishi wa habari wa gazeti la Uhuru, Constantine Mathias, amehojiwa na polisi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya mitandao na kujihusisha na vitendo vya rushwa.
Akizungumza jana Agosti 23 Kamanda...
Serikali ione umuhimu wa kushawishi wawekezaji katika sekta ya viwanda kuja kuwekeza kwenye viwanda vya kuchakata vifaa vya michezo.Nilikua naangalia Azam Sports HD 2 saa 2 ambayo imerusha Kaitaba...
Nasemea kwa wale mnaofuatilia mahubiri ya mtumishi wa bwana na mwalimu wa saikoloji bwana Piter mitti mingi akiwa anahubiri sauti yake huwa inafanana sana na yule mbunge machachari kwenye chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.