Ronee
Senior Member
- Jun 1, 2018
- 155
- 156
wanajukwaa jambo?
Kwa wale wenye ufahamu na maswala ya ndoto tafadhalini naomba mtoe mchango wenu hapa,
Imekuwa kawaida kwangu kuota kwamba niko mazingira ya masomoni, (msingi, sekondari au chuo) nikiwa sambamba na wadau niliosoma miaka hiyo tukiendelea na jukumu la la kusaka elimu, ndoto hii hunitokea zaidi ya mara 3 ndani ya wiki na imekuwa ni endelevu, binafsi nilihitimisha masomo yangu miaka kadhaa nyuma na sina mpango kabisa wa kuendelea na masomo na wala sifikirii hilo tena! Wadau hii inaweza kuwa na tafsiri gani maana kwangu naona imekuwa too much!
Naomba mawazo yenu tafadhali.