Sauti za hawa watu kufanana..

Sauti za hawa watu kufanana..

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,597
Reaction score
29,530
Nasemea kwa wale mnaofuatilia mahubiri ya mtumishi wa bwana na mwalimu wa saikoloji bwana Piter mitti mingi akiwa anahubiri sauti yake huwa inafanana sana na yule mbunge machachari kwenye chama tawala asie na woga wala aibu na msema kweli daima ndugu yetu huyu wa mtama Mh.Nape moses mnauye,yaani hawa sauti zao zinalandana sana sijui kama kuna undugu wowote labda naomba kujuzwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom