Waziri huyo amewalaumu mawakala kwa tabia ya kupandisha bei kuholela na kuwataka wenye viwanda kufuatilia bei ya bidhaa yao hadi kwa mnunuzi wa mwisho
Dar es salaam. Waziri wa Viwanda, Biashara...
Wastaafu wa NSSF hulipwa pensheni kila ifikapo tarehe 24 lakini hali kwa sasa si hivyo, ilianza taratibu malipo kuchelewa kwa siku moja lakini sasa imifikia wiki! Pamoja na kujaribu kujua tatizo...
Duniani kuna mambo mengi,moja ya jambo ambalo mimi naliona wanadamu tumelipa umuhimu mkubwa ni Mapenzi!
Sasa kwa leo nitaelezea nilichokiona kwa kipindi cha mwezi wa nane mwaka huu nikiwa pahala...
Habari wanaJF kuna mtu kastaafu tangu April 2018, alikuwa mtumishi wa umma anaehudumiwa na PSPF( social security wise). Mtu huyu hajalipwa hela zake tangu kustaafu na nina mdai hela nyingi...
Kwa wale ambao addicted na JF unatumia jf masaa kama manne nakuendelea ili kupunguza kiwango cha macho kuathilika iweke jf yako katika setting ya night mode muda wote inapunguza kuathili macho...
Imeelezwa kwamba msafara utaanzia nyumba kwa Mh Mbilinyi salasala saa 2 asubuhi na kuelekea moja kwa moja Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo ibada itafanyika kwenye kanisa katoliki hapohapo...
Habari wadau,nimekaa nikakumbuka kuhusu umuhimu wa regional Integration.
Rais wa Kenya yuko white house akijadiliana mambo mbalimbali na rais wa Marekani.
Ni hakika baada ya mkutano huo yapo mambo...
WAMILIKI wa vyombo vya usafiri Hiace maarufu kama daladala katika manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma leo wamesitisha huduma ya usafirishaji wa abiria wakiishinikiza serikali kusikiliza madai...
Mahojiano ya kusisimua msikilize mtanzania daudi mayocha anayeishi marekani (usa) safari yake huko, alivyoingia akiwa na dola 30
Na jinsi alivyopambana huko kuwa mtaalamu kwenye technology wa...
Huko porini wanapokutana katika makabiliano ya silaha kati ya askari wa wanyama pori na majangili wa nyara za serikali hua hakuna mateka. Ama afe/wafe askari au afe/wafe majangili. Hua ni vita...
Ni suala la muda tu utawala wa mabavu utafika mwisho. Ni suala la muda tu kila mwenye mamlaka atageuka raia. Ni suala la muda tu aliyeko mbele atarudi nyuma.
Kiasi ni jambo jema Sana
Mahakama ya Hakimu Mkazi imesema Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi(TSN), Abdul Nondo ana kesi ya kujibu katika shauri linalomkabili
Hakimu Mkazi Mfawidhi, Liad Chamshama amesema Mahakama...
Wanasema usikae mbali na adui yako hata kama unamchukia kivipi
Fanya kile anachokutaka ufanye na hii itamfanya ajisikie mkubwa siku zote
Ukitaka kumuua adui yako kuwa hata mjakazi wake huku...
Mwezi June mwaka huu nilikuwa na interview saa nne asubuhi. Nilinunua ticket ya train ya saa saba mchana kurudi kwenye mji wa mwenyeji wangu ambako ni masaa matatu kwa train.
Mategemeo yangu...
Haya mambo yanayoendelea sasa ya polisi "imewakamata majambazi sugu, kisha kuhoji na kwenda kuwapekua nakuwakuta na silaha a, b, c...alafu unaambiwa mmoja ya majambazi hayo alijaribu kumkaba...
Iko hivi,mabishano makubwa sana yameibuka ndani ya wanajamii juu ya upande upi wa barabara ambao mtembea kwa miguu yampasa apite ili asiweze kupata ajali ya kugongwa na magari yajayo nyuma yake au...
Chunguza sana simu yako ni nani anakupigia na nani unampigia!?.
Unaongea kuhusu nini?,wao wanaokupigia wanaongea na wewe kuhusu nini?
Kama wewe ni mtoto wa mjini utakubaliana na Mimi unahitaji...