Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Chunguza sana simu yako ni nani anakupigia na nani unampigia!?.
Unaongea kuhusu nini?,wao wanaokupigia wanaongea na wewe kuhusu nini?
Kama wewe ni mtoto wa mjini utakubaliana na Mimi unahitaji connection ili mambo yako yaende poa bila stress!
Tafuta sana connection za watu mbalimbali kila sekta!uwezekano wa wewe kutoka ni asilimia kubwa sana!
Kwa siku ukipigiwa na watu zaidi ya kumi halafu simu zote ziwe ni mipango ya pesa lazima utafanikiwa!
Sasa endelea kushinda Instagram na kupiga simu za kijinga kijinga za mapenzi fainali uzeeni!
Sent by Diaspora