Msikilize Daudi Mayocha, Mtanzania anayeishi Marekani, safari yake huko, alivyoingia akiwa na dola 30

Determination609

New Member
Aug 27, 2018
1
2
Mahojiano ya kusisimua msikilize mtanzania daudi mayocha anayeishi marekani (usa) safari yake huko, alivyoingia akiwa na dola 30

Na jinsi alivyopambana huko kuwa mtaalamu kwenye technology wa mifumo ya computer na kuwa kiongozi huko usa aliweza vipi??

Kwenye hii safari yake..., changamoto za huko ni zipi? je aliweza vipi changamoto ?,



Mengi kujifunza.. sikiliza.. ….
 
Hii ni Jamiiforums, kila kitu kinapatikana siyo bure mtandao huu ni mtandao-tajwa ktk kutujuza habari motomoto za vyeti vya elimu na maisha halisi.
 
Duh.. Very inspiring but nilichogundua ss watanzania tunaishi kwa kudra tu za Mungu wazazi wetu hawakutuandaa kisaikologia kupambana na maisha zaidi ya kuambiwa soma soma soma ufike chuo upate kazi nzuri while in reality sivyo..

Tunaitaji sasa kuwajenga watoto na vizazi vyetu vyetu wajue nn maan ya maisha kwa namna gani wanaweza kuovercome vikwazo mbalimbali ktk maisha saikology hapa inahusika sana.. Huyo mzee hapo bila ya wazazi wake kumjenga vizuri kisaikologi asingefika hapo alipo pongezi nyingi ziwafikie wazazi wake huko walipo.

Cha mwisho nilchojifunza USA life ni jepesi sanaa ukijitambua tu basi USA haikutupi isee uwe umesoma uwe hujasoma USA unaishi bila wasiwasi tofauti sana na africa huku vyuma vimekaza jaman na madegree na mamaster yetu tunasota mamiaka mitaani God have mercy on us jaman. Tulikosea wapi sisi?

Ombi kwa hao diaspora huko basi mtusaidie na sio huku wa nyumbani tuweza kuja kutafuta maisha huko sio tena mnaishia kutupa successful stories tu pia tuambieni ndugu zenu tupitie wapi ili tutoboe faster tuwe km wanaigeria akitoboa mmoja anawaonesha njia wanigeria wenzake 1000..
Yote kwa yote nawastakia. Kila la kheri huko aruta continue...ss bado tunakisotesha huku nyumban.
 
Google mdada anaitwa Ninon Marapachi ni kati ya watanzania wachache kama sio pekee ambao ni portfolio managers katika moja ya hedge funds kubwa zaidi duniani......


Ms. Ninon Babra Marapachi has been a Vice President of Merrill Lynch Alternative Investments LLC at ML Select Futures I L.P. since January 2014 and serves as its Manager. Ms. Marapachi serves as a Managing Director and has been the head of the Hedge Fund Origination and Product Management team within the BAC Alternative Investments Group, a division within BAC that provides investment professionals and their clients with access to investment products and other services, ...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukipambana na maisha pasipo kukata tamaa unafika pale unapotaka ufike.
 
Ukipambana na maisha pasipo kukata tamaa unafika pale unapotaka ufike.

Kweli kabisa, hua nashangaa vijana wako wanachat muda wote..najiuliza hivi hawa wanajua kua umri unaenda na itafika muda hawatakua wanaweza kuchat tena?

Tusipoteze
Muda wajameni
 
Back
Top Bottom