Umuhimu wa Regional Integration

sikonjose

Senior Member
Dec 10, 2017
107
61
Habari wadau,nimekaa nikakumbuka kuhusu umuhimu wa regional Integration.
Rais wa Kenya yuko white house akijadiliana mambo mbalimbali na rais wa Marekani.
Ni hakika baada ya mkutano huo yapo mambo mengi mazuri yatakayofuta.
Kwanini rais wetu hapendi kusafiri nje kukutana na marais wengine,kuna tofauti kati ya kutuma mwakilishi na kwenda mwenyewe.
Nadhani ingeleta faida zaidi hasa katika sekta ya uweekezaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JIFUNZE KUTOKA MARAIS WA NYUMA,ILILETA FAIDA AU HASARA,KATIKA SEKTA YA UWEKEZAJI?
HUYU SIO RAIS WA KWANZA WA NCHI HII,KUNA WALIOTANGULIA,SO JIFUNZE KUTOKA KWAO NA UJE NA MREJESHO WA AMBACHO WALIKIPATA BAADA YA HIZO SAFARI UZITAKAZO!
 
Kwangu Mimi naona kuna faida nyingi zaidi ya hasara,uhusino wetu na nyingine uliimarika,lakini pia hata hao wawekezaji waliongezeka na ajira zilitengenezwa.
Ninachokiona kilikuwa tatizo ni usimamizi tu haukuwa imara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom