Madhara ya kutokujua hesabu yaanza kujianika

Madhara ya kutokujua hesabu yaanza kujianika

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,618
Natumaini hamjambo.
Leo wakati nasikiliza redio asubuhi nimemshangaa msemaji mmoja (jina sitaji) anasema Tshs. 2,000 ya Tanzania ni kubwa kuliko Kshs. 170 ya kenya. Hivi ni kweli au mi ndo sijajua vyema ER ya leo?
Msemaji huyu alikuwa anaongelea bei ya korosho kwa Tanga.

Kwa waliosoma awali naomba mnielewe nilikosea kuandika ...

Msemaji amesema wauzaji wa korosho wanauza nchini kenya kwa Kshs. 170 kilo moja wakati bei ya hapa kwetu ni Tshs. 2,000 kwa kilo. Hivyo anawahimiza wakulima wasiuze Kenya kwa sababu bei ya Kenya ni ndogo.
Naamini hapo nimeeleweka .. kama kuna alosikiliza redio asubuhi hii atakuwa shahidi
 
ww ndo haujui hesabu mkuu
exchange rate ya TZS VS KES LEO , BUYING RATE 2,249.43 SELLING RATE 2,267.42
 
Natumaini hamjambo.
Leo wakati nasikiliza redio asubuhi nimemshangaa msemaji mmoja (jina sitaji) anasema Tshs. 2,000 ya Tanzania ni ndogo kuliko Kshs. 170 ya kenya. Hivi ni kweli au mi ndo sijajua vyema ER ya leo?
Msemaji huyu alikuwa anaongelea bei ya korosho kwa Tanga.
Kutokujua kwako ndiyo maana umeona amekosea,hapo ni currency tu kwani hujui pesa ya kenya ipo juu kuliko yetu hiyo Ksh 170 ni sawa sawa na Tsh 3854 sasa hapo hesabu gani amekosea ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumaini hamjambo.
Leo wakati nasikiliza redio asubuhi nimemshangaa msemaji mmoja (jina sitaji) anasema Tshs. 2,000 ya Tanzania ni ndogo kuliko Kshs. 170 ya kenya. Hivi ni kweli au mi ndo sijajua vyema ER ya leo?
Msemaji huyu alikuwa anaongelea bei ya korosho kwa Tanga.
Wewe ndio hujui, next time usikurupuke Kama brother K wa futuhi
 
Natumaini hamjambo.
Leo wakati nasikiliza redio asubuhi nimemshangaa msemaji mmoja (jina sitaji) anasema Tshs. 2,000 ya Tanzania ni ndogo kuliko Kshs. 170 ya kenya. Hivi ni kweli au mi ndo sijajua vyema ER ya leo?
Msemaji huyu alikuwa anaongelea bei ya korosho kwa Tanga.
Ndugu umejianika, sio tu matatizo kwenye hesabu, bali hata ung'amuzi wa kawaida (common sense) ni tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumaini hamjambo.
Leo wakati nasikiliza redio asubuhi nimemshangaa msemaji mmoja (jina sitaji) anasema Tshs. 2,000 ya Tanzania ni ndogo kuliko Kshs. 170 ya kenya. Hivi ni kweli au mi ndo sijajua vyema ER ya leo?
Msemaji huyu alikuwa anaongelea bei ya korosho kwa Tanga.
Ni kweli kwasababu Kshs 170 ni sawa na 3850 za Tanzania
 
maana yake ni selling rate ni 22.49 and buying rate ni 22.67 , sasa chukua 170x22.67=3854
kwahyo 3,854>2,000
kaka ulikimbia umande mapema sana hizi hesabu za std 4, then unatumia simu janja hata kuggogle hauwezi?
kweli hiki kizazi cha instagram na facebook tabu sana,mchana mwema
 
Mkuu si ungegoogle tu ili ujilidhishe kuliko kuleta mada kama hii maana kama simu yako ina app ya JF ina kauwezo kakuaccess hizo mambo

Au wewe huwa unatumia kupiga, kupokea, kutuma sms na kuchat humu tu?
 
Acheni kumshambulia! kwani ni wangapi wanapost thread zao humu JF na zingine hata hazina mashiko. Mnamshambulia utadhani amewagongea mademu zenu😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡
 
Back
Top Bottom