Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Khaa, hivi umewahi kuangalia kipindi cha mapishi TBC1? Sijui wanatoa wapi wale wapishi, au wanawafanyia makusudi? Maana wanapika vyakula vya ajabu, vyombo wanavyotumia vina masizi utadhani vyombo vya geto. TBC1 ni channel ya taifa hebu boresheni hiki kipindi khaaaa.