Mtoto wa Jinsia mbili azaliwa Muleba, Kagera

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
747
3,059
Mtoto wa Jinsia mbili ya kike na kiume amezaliwa katika Hospitali Teule ya Rubya iliyopo wilayani Muleba mkoani Kagera.

Kuzaliwa kwa mtoto huyo kumethibitishwa na Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo, Dkt.Geore Kasibante, ambaye alisema hali ya mtoto huyo inaendelea vizuri na kuwa wakati wowote atapelekwa hospitali kubwa kwa ajili ya uchunguzi ili afanyiwe upasuaji kwa vile katika hospitali hiyo hawana madaktari bingwa wa kuweza kufanya upasuaji huo.
 
Hivi hiyo huwa inasababishwa na nini? Niliwahi kusikia mahali limjamaa lilimchukua mwanamke ana sex mbili, walivyomaliza ku-do hilo limwanamke lilimgeuza jamaa likamgegeda jicho hadi asubuhi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haina haja ya upasuaji hao wapo hapa duniani. Huyo ni Khuntha ambaye ana tupu mbili mbele, ya tatu ya nyuma.

Sasa kuna wakati ya kike inafanya kazi na kuna wakati ya Kiume inafanya kazi.

Endapo kama atakuwa anaingia hedhi kila ikifika siku zake, basi huyo atakuwa ni mwanamke.

Na kama hataingia hedhi kwa muda wote basi huyo ni Mwanamume.

Mkuu umejuaje kama ni Khuntha maana bado mdogo je akikua akawa Untha? Au tayari wameshamfanyia vipimo? Wamwache tu yeye si wa kwanza, hata huyo Dr. aliyetoa hiyo taarifa sijampenda si kila kitu kutangaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mtoto ataishi maisha magumu sana kila mtu kajua tangu anazaliwa kwamba ana jinsia mbili,Huyo daktari alietangaza sijui alifikiria nini?!!!...na mzazi nae anaona sifa tu mtoto kuharibiwa privacy namna hiyo!
 
Tangu zamani hayo mambo yalikuwepo, ila ilikuwa ni siri ya familia. hapakuwa na JF ya kuanika hadharani
 
Back
Top Bottom