Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watoto wawili wa familia moja wamefariki baada ya kuteketea kwa moto unaodaiwa kusababishwa na mmoja wa watoto wa familia hiyo ambaye amenusurika aliyekuwa akiwapikia chai wadogo zake nyumbani...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Bajaji wakiwa kwenye foleni kuwekewa mafuta na mtu ambaye hakutaka kujitambulisha Mwanaume mmoja, ambaye amekuwa akiongozana na maaskari polisi wawili, amekuwa akigawa fedha za bure kwa watu...
25 Reactions
500 Replies
99K Views
Pesa sijui ameenda wapi siku hizi. Sijui yupo likizo! Kumpata Bw. Pesa ni kazi ya ziada sana. Pesa una majukumu mengi Pesa ? Tunakutafuta huku mtaani hatukuoni Bw. Pesa. Tunapata shida sana.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Picha halisi ya Deogratius Kisandu na Feki Deogratius Kisandu (Benard Mtorela) 1.Picha ya kwanza ni ya kidato cha pili pale Magu Sekondari januari 1998 yenye Uniform, wa kwanza kushoto ni...
4 Reactions
93 Replies
10K Views
Habari ndugu zangu Kuna tabia imezuka siku hizi ya mtu kuongea kwa sauti kubwa huku mambo anayoyaongea hayana tija kwa wengine ,mfano juzi nilikuwa nimekaa nikinywa soft drink kiukweli eneo...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Umahiri wa viongozi wa Tanzania wasioyumbishwa mfano wa mzee magufuli umepewa makao makuu ya ukombozi wa Bara la Africa, Makamnda wote wa CCM na CHADEMA mnapaswa kutambua nafasi ya Tanzania...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna jambo la kujiulza Mtanzania mwenye uelewa na ujuzi wa kulima ,kuvuna na kuuza mazao sokoni, nini kikupeleke ulaya kulea wazee na kuosha vyombo?? Maisha halisi ya watanzania na waafrica...
12 Reactions
184 Replies
17K Views
Kuna Watu leo hii kila siku wanalaumu na wanajiona kama vile hawana bahati hapa duniani wala thamani yoyote ile huku wengine hadi wakifikia hatua ya Kumkufuru Maulana / Mwenyezi Mungu eti Kisa tu...
9 Reactions
14 Replies
2K Views
Hamtupi taarifa mmefikia wapi kumaliza mgogoro wenu wa kisheria na serekali wala hamuoni kuwa mnazidi kupunguza coverage day by day. Watu tulinunua ving'amuzi kwa ajili ya kuhabarika sasa leo...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Du maisha yapo. Leo pia nimepita kuchukua mzigo wangu toka kwa Dr best ynagu hapa Klinikum moja. Njiani unaona kitanda na mtu kalala na drip yake. Of course mazingira safi Hakuna mmbu aber leider...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Mwalimu wa kiume mwenye miaka 47 amefariki dunia akiwa anasimamia mtihani wa somo la kiingereza kwenye shule ya msingi Mkapa iliyopo mkoani Rukwa.
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Hospitali teule ya Mugana iliyoko Wilayani Missenyi imefanikiwa kumfanyia upasuaji kijana mmoja mgonjwa akili mkazi wa Kyerwa mkoani Kagera nakumkuta na vifaa mbalimbali tumboni ikiwemo...
3 Reactions
66 Replies
11K Views
Msaada Ndgu Nahtaj Kufahamu Udsm Wanatoa Majina Lini Ya Waliochaguliwa Na Second Selection Zmeshatoka Au Bado Za Chuo Kikuu Msaada Jamani Mpaka Xaxa Xjapata Selection Mxaada Kwa Hlo Jaman
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Last week nilitembelea shule ya sekondari ,ipo kariakoo katikati ya Benjamin Mkapa na ile shule ya Viziwi,ni shule ya umma,baada ya kumalizia shughuri yangu wakati natoka nikakutana na wanafunzi...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari wandugu hii ni miongoni mwa simu nilizokua nazo Hii simu tatizo lilianza nilivyoirestore nilirestore kwa bahati mbaya wakati inarestore betri ikachomoka kuanzia hapo ikawa inawaka tu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu ndo nimeingia Arusha usiku huu kutokea Dodoma, naulizia wapi naweza kupata huduma tajwa kwa bei poa, zana na hela ninazo, bajeti yangu ni 30,000/nyavu. Nimefikia WAYSIDE HOTEL karibu na City...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna Gari ya matangazo inapita kutahadharisha Raia Juu ya kuchukua Tahadhari kwa wananchi wanaoishi karibu na fukwe za coco beach waondoke kwani bahari inaweza kuchafuka muda wowowte. Nimejaribu...
2 Reactions
77 Replies
11K Views
Jeshi la polisi Mkoani Pwani limefanikiwa kumkamata Salum Mzee Kondo (38),fundi ujenzi mkazi wa Kidongo Chekundu, Bagamoyo aliyehusika na tukio la mauaji ya mkewe, Mwajuma Omary (27) kisha...
1 Reactions
106 Replies
11K Views
Tangazo, wanapima na kutoa miwani bure, lakini hiyo miwani yenyewe sasa daah! ni afadhali hata ile ya wachomeleaji ina vishikio; Yaani ukitegemea ile miwani kuvuka barabara wallah unagongwa...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Watanzania zaidi ya 50 wanaodaiwa kusamehewa na serikali ya Iran baada ya kufungwa jela kwa makosa ya kukutwa na madawa ya kulevya wanaendelea kusota jela nchini humo kufuatia kusubiri kibali cha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…