Uber drivers Jirekebisheni.

The Transporter

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
3,475
6,859
Niende kwenye mada moja kwa moja,
Siku za nyuma tuliamini bajaj baadae ikaja bodaboda na daladala ndio waendesha hovyo barabarani .
Lakini sasa hivi toka wamekuja hawa uber nao limekuwa tatizo lingine ukiona umeongozana na hizi gari tegemea haya:-
kupunguza mwendo gafla bila sababu,
Kusimama gafla bila tahadhar,
Kukata kona bila hata kuindicate hayo ni baadhi tu ila wanasababisha ajari sana .
Ushauri hiyo kampuni iwe inawapa mafunzo madriver wao nadhani muda mwingi wanaendesha huku wanaangalia simu zao.
 
Nipe Namba ya Mdada dereva wa Uber nami niwe namtumia.
True fact ! Natumia uber mara nyingi na naona wako vizuri tu ! Tena ukute mdada aisee unafurahia safari yako. By the way these are personal vehicles hivyo hata waendeshao huwa makini sana na sheria za barabarani na usalama.
 
Niende kwenye mada moja kwa moja,
Siku za nyuma tuliamini bajaj baadae ikaja bodaboda na daladala ndio waendesha hovyo barabarani .
Lakini sasa hivi toka wamekuja hawa uber nao limekuwa tatizo lingine ukiona umeongozana na hizi gari tegemea haya:-
kupunguza mwendo gafla bila sababu,
Kusimama gafla bila tahadhar,
Kukata kona bila hata kuindicate hayo ni baadhi tu ila wanasababisha ajari sana .
Ushauri hiyo kampuni iwe inawapa mafunzo madriver wao nadhani muda mwingi wanaendesha huku wanaangalia simu zao.
Hivi uber imekuwepo Dar toka lini?huku Mwanza imekuja taxify ni shida aisee
 
Back
Top Bottom