MorogoroIko wapi mkuu
Lile Eneo ni very Potential aiseeeeeeWashaurini Katoliki wabadili matumizi ya shule. Ile shule kwa sasa inafaa sana kwa kufugia kuku!
Basi hao viongozi wa kanisa nao hata roho zao ni chafu kama hiyo shule.Hiyo shule iko chini ya kanisa.katoliki jimbo la morogoro ni chafu balaa na amri ya kuifunga imetolewa na wakaguzi elimu mkoa baada ya wanafunzi kuandamana mwezi wa nane
Shule hiyo imefungwa toka mwezi wa 8.kwa sababu ya uchafu wa mazingira sasa ofu yangu ni vipi wataweza kuwasaidia wanafunzi wa kidato cha pili na cha nne kuweza kufanya vizri kwenye mitihani yao
MoroIko wapi mkuu