tabia ya kukagua magari yanapotoka ni utaratibu mbovu kabisa! hapa kuna mabasi ya mwanza na songea bado yapo foleni ya kutoka saa 1 hii wakati inatakiwa saa 12 yawe yameshaondoka!
kweli mnyonge...
Siri ya mwanafunzi kufanya vizuri shuleni:
1.Mzazi mfunze adabu njema.
2.Mzazi fuatilia kila mwenendo wamwanao.
3.Mzazi tambua ufaulu wa mwanafunzi ni mambo 3. Mwanafunzi anayejitambua,Mzazi na...
Huyu dada mzuri shombe shombe flani hivi wa kiarabu alikua anatangaza taarifa ya habari kwa lugha ya kingereza pale ITV aliendaga wapi? mwenye taarifa zake au hata namba zake anitumie tafadhali..
Tujulishane machimbo ya kupata gym affordable na zenye vigezo vyote,
Wapi sehemu unayoijua mdau,sio lazima iwe eneo ulilopo Ila kama unaijua tupe qualifications na bei yake
Hii itasaidia kwa wale...
Baada ya hivi karibuni Waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa kutembelea na kukagua ujenzi wa barabara za juu (flyover), eneo la Tazara Dar es salam na kusema umekamilika...
Habar wa ndg..
Kuna haka katabia kakukurupuka kisiasa ....tena katika sekta muhimu ya elimu....jamani tatueni kwanza changamoto za walim....
Wanasiasa mnawaonea sana walimu...
Wanafunzi 800" """...
Hoja yangu viwanja vingi vinamilikiwa na ccm je?walivijenga wao au ni nguvu ya wananchi na kama wamejenga wao nchi fedha walipata wap tunahitaj maelezo kutoka kwa ccm na wazir wamichezo tunahitaj...
Habari ndugu wana jamvi.
Mimi ni muajiriwa wa serikali nimeanza kazi si muda mrefu nina miaka 24, nilikua nina ndoto za kujenga ili niwe na kwangu mapema...katika pitia pitia za mikopo ya bank...
10% ya watu duniani kote hutumia mkono wa kushoto kuandika.
75% ya wanawake huuliza maswali ambayo tayari majibu yao wanayo hivyo Ni Bora uwaeleze ukweli maana tayari wanajua.
80% ya watu...
Habari za siku nyingi wapendwa;
Naomba kuuliza je, kuna madhara yeyote kiafya kwa mtu /watu /watoto watakao lala chumba kimoja na piki-piki (boda-boda) iliyojazwa petrol kama Yale ya mkaa huku...
Kwa kipindi cha miaka ya hivi karibuni Samsung amekuwa akipata changamoto nyingi sana kutoka kwa mchina kutokana na sim zake nyingi kutolewa copy ambazo hazina ubora na kuingizwa sokoni kitu...
Habari Wana Uwajibikaji Jamii
Naitwa Lilian Kimola
Nimeandaa ibada ya kumsifu Mungu Tarehe 21/10/2018
Kwa Unyenyekevu kabisa Nakukaribisha uje Tumsifu Mungu pamoja wale walio Dar hata Walio...
TLS inapenda kuwajulsha kuwa siku ya jumamositarehe 15 Septemba 2018 kuanzia saa mbil asubuhi wanachama wachama hicho watakutana katika mkutano wao mkuu ambapo wanachama watajadili mambo...
Hawa jamaa ukatumia huduma zao pesa ikakwama kwenda utasota sana kurudishiwa pesa. Hivi Airtel mkoje? Nilikuwa nalipia huduma dukani laki 8 haijafika simu hampokei
Habari Wakuu naomba kuuliza. kuna mchakato mmoja wa ajira nimeufanya ambapo nimepata kuajiriwa na kampuni moja ya wazungu inaitwa CERTAS energy U.K. hapo awali walinitumia interview yao kwa njia...
Moja ya vitu ningeshauri tuvibadilishe katika mfumo wetu wa utawala ni kuimarisha taasisi na vitengo mbalimbali katika mfumo wetu wa serikali ili viweze kujisimamia na kujiendesha wenyewe. Tayari...